Pipi zipi wewe domo kaya!!?Sissy boy hasira za nini na pipi mnaziwanunulia watoto mikocheni zimetoka Kenya. Zindueni miradi zaidi labda kuzindua ndio kutatukomesha lakini kujenga miradi tuachie sisi Manyang'au.
Kwani hizo project zenu ni microscopic ati haziwezi kuonekana na naked eye? 😀😀 mumefikisha wapi uzinduzi wa Bagamoyo, Pipeline, kinyesi na SGR 😀Hahaha unadhani sisi tunafanya mambo kama nyie. Tumewaona nyie ni wachawi tunafanya mambo kimya kimya.
Kwikwikwikwi endelea kuamini hivyo. Na hatutaki mjue mipango yetu kwa ndani, mtaona vitu tu vinashushwa mkishituka mmebaki hohehahe. Kwikwikwikwi.
Hebu weka market share yake utagundua haitoshelezi Tz inabidi mnaimport from big brother KenyaPipi zipi wewe domo kaya!!?
Umezoea sana dogo hahaha mbona unahaha sana kijana!? Hizo hapo pipi za kitanzania zinazonunuliwa
Sasa unataka mimi niweke market share!!? Hahaha nimekueleza kuwa wewe huijui Tanzania unabweka bweka tu kama mbwa koko. Mambo ya kununu bidhaa za kenya ilikuwa miaka ya 90s. Usitembelee historia, ilishapitwa na wakati. Weka mwenyewe market share.Hebu weka market share yake utagundua haitoshelezi Tz inabidi mnaimport from big brother Kenya
Angola about to complete HEP project of Stiegler’s Gorge size
Tony254 Nobody dares to corrupt JPM's Government, ask the Chinese attempt on SGR in Tanzania! I give my cents to Oldebrecht as they have more experience on such projects from within Brazil n global engagement.
Moreover the guys have just completed the project of similar scale in Laúca Angola. Therefore mobilisation of their equipment to from Angola to Southern Tanzania will be easy via Benguela n TAZARA Railways.
It is a very corrupt company. Read their history.
Bagamoyo iko 0% complete ,110% inaugural season.
Kuna vijana zaidi ya milioni moja hawana kazi. Bwawa lingechimbwa kwa sululu na udongo kutolewa na toroli, tungetengeneza zaidi ya ajira milioni moja fasta. Mkandarasi angekuwepo tu pale site kwa ajili ya kupima pima. Sasa tunakwenda ku spend trilions if money ambazo hazitanufaisha local citizens.
Wachumi waisaidie serikali ili combination ya labor to capital f(L,K) iwe 0.7: 0.3.
Pale wangeajiriwa vijana kwa shift tatu za masaa nane kuchimbua kifusi, kazi ingeenda fasta.
Mpaka bwawa linakwisha hata kama litachukua miaka kumi, nguvu kazi inayopotea huku mtaani ingekuwa imepona.
Nyinyi mnachora BRT ya pink duh huu mwaka wa shetani.Kila siku Stiegler Stiegler, kumbe hata hamjaanza, Miswahili bana...
Ndo ivo mkuu. Kama tulivyojenga reli ya TAZARA, nguvu kazi ilitumika zaidi ya matumizi ya mitambo (labor intensive).combination ya labor to capital f(L,K) iwe 0.7: 0.3.
Napenda sana hizi nondo, tiririka mtaalam....tupe elimu.
Akili za miaka ya 1800.Kuna vijana zaidi ya milioni moja hawana kazi. Bwawa lingechimbwa kwa sululu na udongo kutolewa na toroli, tungetengeneza zaidi ya ajira milioni moja fasta. Mkandarasi angekuwepo tu pale site kwa ajili ya kupima pima. Sasa tunakwenda ku spend trilions if money ambazo hazitanufaisha local citizens.
Wachumi waisaidie serikali ili combination ya labor to capital f(L,K) iwe 0.7: 0.3.
Pale wangeajiriwa vijana kwa shift tatu za masaa nane kuchimbua kifusi, kazi ingeenda fasta.
Mpaka bwawa linakwisha hata kama litachukua miaka kumi, nguvu kazi inayopotea huku mtaani ingekuwa imepona.
How about vijana wachache kupata ujuzi wa kitumia vifaa na kuweza kukabiliana na hali ya ushindani was maarifa na technolojia duniani? Na hata ushindani wa ajira nje ya nchi?Kuna vijana zaidi ya milioni moja hawana kazi. Bwawa lingechimbwa kwa sululu na udongo kutolewa na toroli, tungetengeneza zaidi ya ajira milioni moja fasta. Mkandarasi angekuwepo tu pale site kwa ajili ya kupima pima. Sasa tunakwenda ku spend trilions if money ambazo hazitanufaisha local citizens.
Wachumi waisaidie serikali ili combination ya labor to capital f(L,K) iwe 0.7: 0.3.
Pale wangeajiriwa vijana kwa shift tatu za masaa nane kuchimbua kifusi, kazi ingeenda fasta.
Mpaka bwawa linakwisha hata kama litachukua miaka kumi, nguvu kazi inayopotea huku mtaani ingekuwa imepona.
where is 5000MW? 😀😀😀😀😀😀 yaani tumefikia mpaka tunadanganya peupe?wakati mnafikisha 3000MW sisi tupo na 5000MW au kwa kifupi kabisa 5GW mkiwa na 3G sisi tupo na 5G
Ndo ivo mkuu. Kama tulivyojenga reli ya TAZARA, nguvu kazi ilitumika zaidi ya matumizi ya mitambo.
Sisi lengo letu ni kujenga bwawa lakini lazima mradi huu uzalishe ajira.
Ili kuzalisha ajira huwezi kufanya hivyo iwapo kazi inayoweza kufanywa na binadamu itafanywa na mitambo.
Kwa hiyo pale kinachofanyika ile ardhi inapigwa baruti, ule udongo una bomoka na kulainika. Then ile ardhi inagawanywa kwa vitalu vyenye ukubwa wa uwanja wa mpira. Kila kitalu kunakuwa na vijana kama mia mbili kwa ajili ya kufukua vifusi. Na kila kitalu kinapewa maroli ya kubebea kifusi.
Kwa hiyo vijana watakuwa wanajaza vifusi kwenye maroli na maroli yatakuwa yanapita kwenye bara bara zinazotenganisha vitalu kwenda kumwaga vifusi nje ya bwawa.
Zoezi hili likiendelea kwa miaka miwili, bwawa litakuwa limeshachimbwa kwa ukubwa wa kutosha na vijana wengi (hasa waliopitia JKT) watakuwa wamepata ajira.
Tena ikiwezekana mkandarasi awe JKT atafutwe na mbia mwingine wa kuingia JV ambaye atasimamia mambo ya technical huku JKT wakisimamia mambo ya labor.
Kwa viongozi wa Kenya labda kule bridges zinacollapse! Si Tanzania chini ya serikali yenye nia ya kupata transfer of skills n technology!Natumai wakuu serikalini wanapitia hoja kama hizi maana kuwa na vijana mamilioni haswa waliopitia JKT au NYS ya Kenya wamepata mafunzo ikiwemo ya kijeshi lakini hawana ajira ni hatari sana. Ni muhimu kutumia mashini ili kurahisisha kazi, lakini pia kuna upande wa jamii ambao haufai kufumbiwa macho, hivyo striking a balance is important.
mambo ya 2026 tupilia mbali..tuko mwaka upi sasa hivi?...look at this ldc idiotKwanini wewe usitoe maelezo kuhusu 3000MW yako? Maana unasema ifikapo 2026 wakati sisi tunaongelea 2020. Hahahaha
Nitupilie mbali vipi wakati unasema ifikapo mwaka 2026 mtakuwa na 3000MW? Wakati ikifika miaka hiyo sisi tutakuwa tunaongelea GW. Nataka kukueleza kwa ufupi Tanzania inakila aina ya Resources kilichokuwa kimekosekana TZ ni utashi tu.mambo ya 2026 tupilia mbali..tuko mwaka upi sasa hivi?...look at this ldc idiot