Mradi wa Stiegler’s Gorge kuanza Julai

2026 watu watakuwa zaidi ya 10,000MW we vipi? nyinyi wenye resources mbona mpo maskini wa kutupwa ldc?
 
Kwikwikwikwikwi, Unasema maskini !!?
Je unaweza kunieleza maana ya hili jambo kuhusu Kenya?
Nini maana ya under poverty line?

Hahaha unadhani sisi tunafanya mambo kama nyie. Tumewaona nyie ni wachawi tunafanya mambo kimya kimya.
Kwikwikwikwi endelea kuamini hivyo. Na hatutaki mjue mipango yetu kwa ndani, mtaona vitu tu vinashushwa mkishituka mmebaki hohehahe. Kwikwikwikwi.
Haionekani juu ni miradi hewa nyie wavivu😀😀😀😀😀😀Alafu ukomae uache huu utoto wakushinda ukiandika kwikwikwi kila mara🙄.
 
Kwikwiwkiwkiwi Vipi kuhusu ONLY BRT? Kwikwikwikwikwi Real BRT
 
Julai ikifika mnitag
Duh....watanzania mdomo mwingi matendo hayako. Tuko September but they haven't dug a hole in the ground.

Watanzania hata wakipinga wanajulikana kwamba wao ni wazembe kabisa. They can't accomplish even the smallest tasks

Ujamaa iliwamaliza
 
Kama hujui tayari, Eneo limekwisha andalia na almost nguzo kumi tayari
 
Duh....watanzania mdomo mwingi matendo hayako. Tuko September but they haven't dug a hole in the ground.

Watanzania hata wakipinga wanajulikana kwamba wao ni wazembe kabisa. They can't accomplish even the smallest tasks

Ujamaa iliwamaliza
Kukimbiza mwizi kimyakimya unajua huku hakuna watu wa midomo mipana kupayuka ovyo kama huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…