Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Hata mimi nikipata taarifa toka juu kuwa wewe ni Mtanzania wa kwanza kwenda mwezini huku nikijua wewe ni kilaza wa Darasa la 7 sitakulaumu wewe wala kilaza mwingine aliyesambaza taarifa bali kwa kujiamini kabisa nitasema huo ni utani wa kilaza mwingine anayedanganya wananchi kwa ujinga wake anayetaka atambulike. Kuna mtu alisema Watanzania siyo wajinga ni kweli lakini wajinga kama wewe pia wapo tena wengi zaidi.Swali kwako, wewe fani yako ni ipi labda, hadi uweze kuona kwamba hawajui kazi? Kumbuka Mwendokasi wakati inajengwa mlisema hivyo hivyo leo hii ni success story, watu wanatoka ng'ambo kuja kujifunza kuhusu mwendo kasi yetu, hivyo wewe una utaalamu gani uliosomea usije kuwa unataka kuleta ubishani wa Simba vs Yanga, Diamond vs Kiba, wakati hakuna kitu unajua kuhusu Dam construction, ...