mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Huu mradi wa maji ya kuleta umeme wa nyerere tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa utakamilika June 2022, kitu ambacho c Cha kweli hata kidogo, pia tukidanganywa Mwezi wa 11 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa huu ni uongo mkubwa, kwanini nasema hivo
1. Njia za kupeleka maji kwenye mashine hazijakamilika pamoja na Ujenzi wabpower house
2. Ufyekaji wa misitu ni Kama umesimama
3. Ukuta wa bwawa hazijakamilika hata kidogo
4. Njia za umeme hazijajengwa
Kiutaalamu mradi huu utaisha mwishoni mwa mwaka 2027. Sasa Sina uhakika Kama Rais naye anajua uongo huu, au lah