Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni kama mradi wa treni ya mwendokasi(SGR),wanasiasa kila siku wanaongea, sababu za kuchelewa mradi hawasemi.Hii kitu hata mimi niliambiwa na jamaa yangu ambae yupo field hapo akaniambia hizo ni siasa tu tunazoambiwa, hakuna cha 2022 wala nini kwa hatua waliyopo kwa sasa.
Niwape moyo frontliners wote katika ujenzi wa bwawa hili...lets stick on the plan tutafika vyema sana
Mleta mada amesema yeye anafanyakazi kule kwa waarabu hivyo huwa anasikia wakiongea baada ya kurudi toka kazini na kuna shoga mwenziwe kamuunga mkono, kwa hiyo ni maneno ya kusikia na hisia za mtoa mada;Mleta mada umetumia nguvu kubwa sana kukashifu badala ya kuonesha ni kwanini unaona litavuka huo muda unaosema na ni kwanini unadhani hayo unayosema yamebakia yatatumia muda wote huo uliosema mpaka mwaka 2027.
Sasa huu muda unaotumia hapa si ungekuwa kazini..huoni nawe ni sehemu ya kufanya hiyo kazi ichelewe.Nipo huku nimeajiriwa na Waarabu, Elsewedy
Nagonga kazi Kama kawaSasa huu muda unaotumia hapa si ungekuwa kazini..huoni nawe ni sehemu ya kufanya hiyo kazi ichelewe.