Mradi wa Stiglers Gorge HEP hauwezi kukamilika 2022, Novemba 2021 bwawa halianzi kujazwa maji

Mradi wa Stiglers Gorge HEP hauwezi kukamilika 2022, Novemba 2021 bwawa halianzi kujazwa maji

Hii kitu hata mimi niliambiwa na jamaa yangu ambae yupo field hapo akaniambia hizo ni siasa tu tunazoambiwa, hakuna cha 2022 wala nini kwa hatua waliyopo kwa sasa.
Kumbe ni kama mradi wa treni ya mwendokasi(SGR),wanasiasa kila siku wanaongea, sababu za kuchelewa mradi hawasemi.
 
Mleta mada umetumia nguvu kubwa sana kukashifu badala ya kuonesha ni kwanini unaona litavuka huo muda unaosema na ni kwanini unadhani hayo unayosema yamebakia yatatumia muda wote huo uliosema mpaka mwaka 2027.
Mleta mada amesema yeye anafanyakazi kule kwa waarabu hivyo huwa anasikia wakiongea baada ya kurudi toka kazini na kuna shoga mwenziwe kamuunga mkono, kwa hiyo ni maneno ya kusikia na hisia za mtoa mada;
Kwa kifupi mradi utakamilika kama ilivyopangwa hasa baada ya Mama kubuni mbinu za kupata misaada ya fedha na mikopo ya riba nafuu toka ndani na nje ya nchi aidha mtiririko na uwiano wa ujenzi na malipo ni mzuri;
Ujazaji maji ni wa mwaka mmoja tu na sio miaka mitatu isipokuwa yatajazwa kidogokidogo ili kubaini hitilafu ndogondogo zinazoweza kujitokeza!
 
Serikali ya CCM sio ya kuamini Tena.
SGR DAR TO MORO km chini ya Mia mbili ilikua iishe 2019. Leo jul 21 bado hata dalili. SGR DAR Moro huu Ni mwaka wa nne Sasa unaisha. Kumbuka Ni km 200 tu halafu miundombinu ilikuwepo sio kwamba walianzafrom scratch.
Sasa itakua stigler's gorge?
 
Back
Top Bottom