Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Habar JF Mimi ni fugaji mkoani Kilimanjaro,nina ng,ombe (4) wote ni jike,tatizo ni chakula chao kinapatikana kwa shida,

Sidhani kama unahaki ya kulalamika........tunaishi huku duniani ili tuitawale hii dunia na sio dunia ikutawale wewe.......namaanisha nini.....kama unajua unachokifanya sidhani hata kidogo chakula kinaweza kikawa chngamoto...
nikulize swali...unafuga kibiashara??????

Ushauri wa BURE.......kama umehamua kuwa mfugaji....usichoke kujifunza....unatakiwa uelewe kwa siku ngombe moja anakula majani/chakula cha kiasi gani inaweza ikawa unapima kwa kilo na maji kwa siku anatakiwa anjwe lita ngapi................ukishajua hilo fanya hivi........kipindi chamvua/masika hakikisha unakusanya majani ya kutosha(kumbuka unatakiwa uwe na stoo ya kuhifadhi) kulingana na idadi ya ngombe unaahakikisha unakusanya chakula cha kutosha kuwalisha ngombe wako miezi 12 au hata miezi 24

Unafanyaje..............kama unakiu ya kujifunza....soma namna ya kutengeneza .....sailage......ukikusanya majani ( kumbuka sio kila majani kwa moshi kuna majani fulani yanaitwa ya tembo yanafaa saana...unaweza yaotesha..au kuwashawishi majirani zako wakuoteshee..kipindi cha mvua unaweza vuna kila baada ya wiki tatu kama umeyatunza vizuri........kama hiyo itakuwa ngumu unaweza tafuta karatasi ngumu yanapatikana Balton chimba shimo kusanya maji ya kutosha kipindi cha mvua unaweza otesha hayo majani kwa kumwagilkia

Muda wa kulalama mabadiliko ya tabia nchi sidhani kama una nafasi hapa......nchi kama Norway na sweden ukienda kaskazini kuna maeneo wanaliona jua kwa miezi 4tu kwa mwaka lakini hawalii lii hata kidogo......chukulia hayo mazingira kama changamoto.......kama unavyojiwekea chakula cha kutosha cha familia na ngombe wanatakiwa ufanyie hivyo

Ukitaka maelezo zaidi unaweza ni ibox kila la kheri
 
tuanze na eneo ulipo moshi sehemu Niko moshi vijijini,tarafa ya kibosho kati,mkuu.

Kati ya wachaga ambao hawajui ufugaji wa ngombe Wakibosho wanaongoza! Ngombe wanne unalalamika. Kibosho kati kuna majani mazuri sana. Hata yale mnaita ASTERIA yapo kibao. Throughout ni kijani halafu unalalamika. Mkuu ufugaji wa ngombe waachie ndugu zetu pale Machame! Wewe endelea na kiwanda chako cha bia tu Mangi!
 
Mkuu Prodigl nimependa ushauri wako sana,labda majani ya tembo ni siku 21 kweli au,

Kama unataka kutengeneza sailage MAJANI HAYATAKIWI YAKOMAE SAANA.....Chukua muda jifunze namna ya kutengeneza sailage/ hay....hutaishia kulalamika hata kidogo....usifuge kama mababu zetu walivyokuwa wanafuga.....unatakiwa uwe tofauti......mie nina ngombe 34 ndani ya robo heka na sina shida ya chakula kwa mwaka mzima.......
 
Mkuu Prodigl nimependa ushauri wako sana,labda majani ya tembo ni siku 21 kweli au,

Kama unataka kutengeneza sailage MAJANI HAYATAKIWI YAKOMAE SAANA.....Chukua muda jifunze namna ya kutengeneza sailage/ hay....hutaishia kulalamika hata kidogo....usifuge kama mababu zetu walivyokuwa wanafuga.....unatakiwa uwe tofauti......
 
Ahh mzee chinja watu tule kisusio na nyama choma tukashushie na mbege

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Halafu Mangi inawezekana tunajadili kitu ambacho hakipo! Hebu chungulia heading "Ng,ombe wangu wamenishinda nahitaji ushauri wako" hapo kwenye red ndo nini mkuu
 
Habar JF Mimi ni fugaji mkoani Kilimanjaro,nina ng,ombe (4) wote ni jike,tatizo ni chakula chao kinapatikana kwa shida,

wape magamba kama kina mwigu....lu , wakatoe kama takrima kwenye mikutano yao kwani naamini siku hiyo vikongwe na wanywa maji ya bendera ya magamba watjaa mpaka "pomoni" na ukizingatia ng'ombe zenyewe hazina afya kama wafuasi wa magamba hakika zitawafaa xana.
 
[QUOTE=Kamanda Moshi;7149440NADHANI HUJUI NINI MAANA MITANDAO YA KIJAMII,NI AFADHALI UNGEPITA TUU,WENYE BUSARA WATACHANG
 
Back
Top Bottom