Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Mkuu Fresian kwa mazingira ya joto kama Dar hawafanyi vizuri wanataka maeneo yenye baridi,maeneo yenye joto ungepata
Aryshire wenye mabaka meupe na mekundu.
 
Mkuu uliwanunua waliwa na umri gani na kwa shing ngap
 
Mkuu Fresian kwa mazingira ya joto kama Dar hawafanyi vizuri wanataka maeneo yenye baridi,maeneo yenye joto ungepata
Aryshire wenye mabaka meupe na mekundu.

Hawa wanaweza toa lita ngapi kwenye mazingira ya joto?
 
Hawa wanaweza toa lita ngapi kwenye mazingira ya joto?

Visababishi vya uzarishaji maziwa(factor of production) chakula/nutrients,mazingira/environment,mbegu/breed vikiwa vizuri unaweza ukapata zaidi ya lita kumi na tano kwa kila nyakati anapokamliwa.
 
Niliwanunua hao ng'ombe pale Ubungo DAr es salaam ila sikumbuki umri wao ila wakati na wanunua mmoja alikuwa mtamba na mwingine alikuwa amezaa mzao wa kwanza huko alikotoka ilikuwa (december 2011). mbaka sasa yule mtamba amezaa mara mbili na yule mwingine amezaa mara tatu lakini bado rate yao ya utoaji maziwa ni ileile 3litres each per day
 
Hizo factors of production zote nimeziconsider ila hamna kitu ila mm nawasiwasi na hawa ng'ombe kwani nilifanya research kuhusu ng'ombe wa Ubungo na nikaona watu wanasema huwa hawafanyi vizuri sana. Na wengine wakasema hao ng'ombe wanaoletwa pale huwa wanakasoro fulani fulani za milk output huko walikotoka .
 
Hizo factors of production zote nimeziconsider ila hamna kitu ila mm nawasiwasi na hawa ng'ombe kwani nilifanya research kuhusu ng'ombe wa Ubungo na nikaona watu wanasema huwa hawafanyi vizuri sana. Na wengine wakasema hao ng'ombe wanaoletwa pale huwa wanakasoro fulani fulani za milk output huko walikotoka .

Kama umegundua hilo, ni ww sasa kuamua kuwAuza hao ng,ombe halafu ununue wanaoendana na hewa ya ukaa iliyoko huko Dar, Maana hao ulioko nao hawastahimili mazingira ya Joto.
 
nitafute 0757662401 ila nipo arusha utapata wa lita 12 asubuhi na jioni liter 12

Wapatie kwanza watu vifaranga vyao ndio uanze biashara ya ng'ombe. Umebadil jina lakini nimekutambua
 
Vp kashawaliza watu huyo jamaa?tuwe makini jamani kuna watu wanaharibu taswira ya jf.
 
Kwenye uzi huu nimeona ID 2 za watu 2 tofauti zinatoa comment na kujibu as if ni mtu mmoja,KITOMARI2 na Culboy je hawa ni watu wawili tofauti?wanajukwaa tuwe makini kuna matapeli humu jf.
 
Wapendwa wana JF, heshima kwenu, pia poleni na pilika za maisha.

Back to the topic;

Mwenzenu nimechoshwa na kazi ya kuishi kwa kutegemea mshahara. Nataka kuwa mjasiria mali hasa katika ufugaji wa ng'ombe wa maziwa.

NB: Naomba mniambie zile nyasi za kulishia ngo'ombe wa maziwa ndani (Zero grazing) zile ambazo huwa zinapandwa na kuvunwa -ZINAITWAJE? NAWEZA KUZIPATA WAPI (MBEGU ZA HIZO NYASI) ili nizioteshe mwenyewe huku niliko..maana kununua sitoweza.

Nataka kuanza na ng'ombe watatu wa maziwa approx. kila ngo'mbe anipe lita 12 za maziwa kwa siku = Lita 36....je kwa mlio wazoefu na ufugaji hii hesabu yangu yaweza kutimia au nime-over estimate?

Natangulisha shukrani wadau.
 
Mara nyingi wafugaji wa Ng'ombe na wanyama wengine wanaokula nyasi , hupata hasara sana wakati wa kuwalisha. Hapa naongelea zaidi wale wanaofuga kisasa (Zero grazing). Wafugaji hutumia nyasi nyingi bila ya kuwa na tija maana nyasi nyingi hupotea.

Wanyama hawa huwa na tabia ya kula kidogo na kuacha sehemu kubwa ya nyasi na kuzikanyaga tu. Bahati mbaya nyasi zikikanyagwa na hata kuguswa tu hawa wanyama hawawei kula tena.

Katika kutatua tatizo hili wanasayansi waligundua ya kwamba nyasi zikikatwakatwa huliwa zote bila kubaki. Kazi ya kukata nyasi kwa wepesi kuna mashine kwa kazi hiyo.

Waliokwisha kuzitumia wansema ng'ombe hula sana na kuongeza maziwa mara dufu na kupunguza kiasi cha nyasi zitupwazo (wastage).

Picha kama kawaida iko hapo chini na kama ukiwa na maswali PM.
 

Attachments

  • Kishato machine.jpg
    Kishato machine.jpg
    117.9 KB · Views: 405
Bei zinatofautana kulingana na mashine unayotaka maana kuna mshine kubwa na ndogo kulingana na idadi ya mifug uliyonayo.
 
Hii sio Product ya SUA. Hii nimeleta toka Punjab India..
 
Back
Top Bottom