Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Fresian kwa mazingira ya joto kama Dar hawafanyi vizuri wanataka maeneo yenye baridi,maeneo yenye joto ungepata
Aryshire wenye mabaka meupe na mekundu.
Hawa wanaweza toa lita ngapi kwenye mazingira ya joto?
Hizo factors of production zote nimeziconsider ila hamna kitu ila mm nawasiwasi na hawa ng'ombe kwani nilifanya research kuhusu ng'ombe wa Ubungo na nikaona watu wanasema huwa hawafanyi vizuri sana. Na wengine wakasema hao ng'ombe wanaoletwa pale huwa wanakasoro fulani fulani za milk output huko walikotoka .

nitafute 0757662401 ila nipo arusha utapata wa lita 12 asubuhi na jioni liter 12
Wapatie kwanza watu vifaranga vyao ndio uanze biashara ya ng'ombe. Umebadil jina lakini nimekutambua