misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Kumbe kaambiwa?Rais mwenyewe kasema "ameambiwa" pengine watu wamepiga zaidi ya hapo.
Kumbe kaambiwa?Rais mwenyewe kasema "ameambiwa" pengine watu wamepiga zaidi ya hapo.
Pesa ya mboga, daadeki. Kuna watu wana meno wanajua kutafuna!Kwani billion 10 kitu gani bwana. Hii nchi unaweza kuchizika eti
Sasa je!Kumbe kaambiwa?
Mtihani mkubwa!Sasa je!
Sishangai kusikia CAG akisema billion kadhaa hazijulikani zilipo. Rais na yeye hajui kuwaquestion watu.Mtihani mkubwa!
Zilikuwa zinagawanwa kesho unaambiwa uchagie mwengeViongozi mafisadi wasipoota vitambi awamu hii, wasahau nyakati zijazo
Bilioni 10 sijui walienda kukaa kambi Dubai ili kufanya hayo marekebisho yenyewe 🙌
Hapa huwezi kuwaona TAKUKURUSishangai kusikia CAG akisema billion kadhaa hazijulikani zilipo. Rais na yeye hajui kuwaquestion watu.
Dah! Kwenye vyombo vya habari hiyo TAKUKURU sijasikia kwa muda mrefu. Kumbe bado ipo ila ni kama vile imelala.Hapa huwezi kuwaona TAKUKURU
Ndio maana nasema tena na tena tatizo kubwa kuliko tunavyolichukulia mkuu.Sishangai kusikia CAG akisema billion kadhaa hazijulikani zilipo. Rais na yeye hajui kuwaquestion watu.
Kabisa, watanzania wengi ni waoga. Kila mwaka CAG anasema mabillion hayajulikani yalipo wananchi wanachekelea tu. Hata wabunge hawahoji juu ya hili jambo.Ndio maana nasema tena na tena tatizo kubwa kuliko tunavyolichukulia mkuu.
Shida yetu tunaogopa kuambiana ukweli
Viongozi hawana huruma kabisa na Kodi zetu 🙌Zilikuwa zinagawanwa kesho unaambiwa uchagie mwenge
Hakuna viongozi pale wale ni watawala pekeeViongozi hawana huruma kabisa na Kodi zetu 🙌
Yenyewe huwa inahangaika na VEOs na walimu, kimsingi ni sisi watu wa chini pekeeDah! Kwenye vyombo vya habari hiyo TAKUKURU sijasikia kwa muda mrefu. Kumbe bado ipo ila ni kama vile imelala.