Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Usikute hata bunge lenyewe halijui.Kaambiwa....
Hata hajui maskini mama wa watu!!
Usikute hata bunge lenyewe halijui.Kaambiwa....
Hata hajui maskini mama wa watu!!
Inawezekana kabisa, awamu hii tunaenda ili mradi tu. Wasiposhiba this time hawashibi tena.Usikute hata bunge lenyewe halijui.
Hii Nchi ni ya kuonewa hurumaHakuna viongozi pale wale ni watawala pekee
Huyu tulipigwaNanukuu maneno ya rais: “Nazungumza hili nikiwa na fahari kubwa kwamba shughuli ya urekebu wa sheria, toleo la 2023 tunalozindua leo limegharamiwa na sisi wenyewe. Naambiwa shilingi bilioni 10 ziketumika kwenye hili”.
“Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini sikuwa najua kiasi gani. Leo naambiwa bilioni 10 zimetumika kwenye kazi hii”.
Kwa akili zangu naona Hakuna tatizo somewhere 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yeye ndiyo tatizo no 1Hii Nchi ni ya kuonewa huruma
Ni dhahiri Mhe. Rais hashirikishwi ama sio mfuatiliaji wa mambo
Duh!Naambiwa shilingi bilioni 10 ziketumika kwenye hili”.
“Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini sikuwa najua kiasi gani. Leo naambiwa bilioni 10 zimetumika kwenye kazi hii”.
Kesha pita tayariaisee,akipita hiyo miaka mitano sijui itakuwaje?...Mungu atusaidie
Tuna hali mbaya sana kama TaifaYeye ndiyo tatizo no 1
Nakubaliana nawe kwa 100%....kuna maneno anaongea yanafanya mtu ujiulize maswali magumuYeye ndiyo tatizo no 1
Wizi hadi aibu asee kwa sasaNakubaliana nawe kwa 100%....kuna maneno anaongea yanafanya mtu ujiulize maswali magumu