Mratibu Simba SC Abbas na Msemaji nimeambiwa mnanisoma mno hapa haya nifikishieni Usiku huu Ujumbe wangu kwa Kocha Robertino

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza.

Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili afungue Busta zote kwa Kuwaingiza Sakho Kulia na Okra kama yuko Fiti upande wa Kushoto ili Wawakimbize Waarabu na Waogope kupanda na tuweze Kufanikiwa kwa hili Goli letu Moja la Nguruwe la kwa Mkapa Stadium.

Kisha tuvunje Rekodi na Kuingia kwa mara ya Kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika ( CAFCL )
 
Kujua mpira ni kazi sana.

Aways Game Huwa WANACHEZA. 3: 4: 2 : 1.

(3)
KENEDY.
Inonga.
Onyango.

(4)
Kapombe
Shabalala.
Kanute.
MZAMIRU.

(2)
Chama
KIBU.

(1)
Baleke.


KUHUSU PHILI.

1.MAKOCHA wote wawili wasimuamini, Zoran Mark, Robertinho wote hawakuwahi kumtumia Huyu jamaa.

Moses phili ni mchezaji wa KAWAIDA mno.

2. Simba Ina No 10 zaidi ya watatu.
Chama, Saido, Sakho. Bado Hana nafasi.

3. HAWEZI kucheza MICHEZO Mikubwa, rejea Simba na yanga 1,1 Okwa na Azizi ki. Hakupiga hata on target Moja.

4. Phili anadondoka dondoka, ANASHINDWA kumiliki mpira KABISA , kimara wa kupoteza MIPIRA.

STRENGS NI MFUNGAJI MZURI WA MAGOLI .

Sioni nafasi yake nadhani Kuna haja ya kuongeza STRAIKER atakayepambana na Baleke.
 
Fanya editing haraka Jina lake siyo Phili kama Ulivyoandika bali anaitwa Phiri na Siku nyingine usilikosee tena sawa?

Kama ulivyoniambia kuwa Kuujua Mpira ni Kazi nami nakuambia Kujua kutaja kwa Usahihi majina ya Watu ni Kazi.
 
haya kana kwamba wao wydad watakuwa wamelala,leo watafungua boosters zote dakika ya kwanza na game itakuwa ni mchakamchaka
 
hahahaha
 
Acha upumbavu na kutafuta attention kwa watu. Ile ni professional ya watu siyo mambo ya kutafutia Ujiko wa kiboya. Nyie akina andunje mnapenda kujifanya mnafahamika kwa watu. Hujui hata unalolisema mkia wewe... Haya mambo huwezi yakuta kwa wanayanga. Wanaheshimu profession ya coach.
 
Baleke muondoe mkopo wake wa miezi 6 unaisha ligi ikiisha
 
Ndiyo tatizo la kuwa Shoga Ukubwani hivyo ulivyo.
 
Kocha makini hapangi kikosi kwa kufuata maoni ya mashabiki, yeye ndiye anajua nani yupo fit kwa kufanya majukumu anayopewa uwanjani. All in all, Simba anaenda kufuzu nusu fainali Inshaa Allah!.
 
Naunga mkono hoja
 
Natamani Simba ashinde ila ni hatari sana kwa sisi mashabiki wa upande wa pili. Masimango yake hayavumiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…