GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza.
Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili afungue Busta zote kwa Kuwaingiza Sakho Kulia na Okra kama yuko Fiti upande wa Kushoto ili Wawakimbize Waarabu na Waogope kupanda na tuweze Kufanikiwa kwa hili Goli letu Moja la Nguruwe la kwa Mkapa Stadium.
Kisha tuvunje Rekodi na Kuingia kwa mara ya Kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika ( CAFCL )