Dah!!View attachment 3309148
Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco Majaliwa, Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.
Lundenga ambaye ameugua kwa muda mrefu itakumbukwa ndio aliyesimamia kwa mafanikio makubwa Mashindano ya Urembo Tanzania na kuyapa umaarufu mashindano hayo.
Lundenga pia aliwahi kuhudumu kwenye Kamati ndani ya Klabu ya Yanga.
Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwake Boko jijini Dar.
hahaha..........ndiyo maana tumeendelea kushukuru Mungu kutufanya kuwa hai hadi sasa japo Uzee unatupiga kweli kweli 🤗Kwakweli mlifaidi sana.
Isijekuwa mlifaidi mpaka vimelea😥
Kipindi hicho hata kuungwa zilikuwa haziungwi wala kufukizwa, zilikuwa nachurali😁.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽hahaha..........ndiyo maana tumeendelea kushukuru Mungu kutufanya kuwa hai hadi sasa japo Uzee unatupiga kweli kweli 🤗
Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.View attachment 3309148
Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco Majaliwa, Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.
Lundenga ambaye ameugua kwa muda mrefu itakumbukwa ndio aliyesimamia kwa mafanikio makubwa Mashindano ya Urembo Tanzania na kuyapa umaarufu mashindano hayo.
Lundenga pia aliwahi kuhudumu kwenye Kamati ndani ya Klabu ya Yanga.
Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwake Boko jijini Dar.
Aah Lundenga amewafaidi wale mabinti mno! Nakumbuka pale Keinyama nini, You Know 😂View attachment 3309148
Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco Majaliwa, Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.
Lundenga ambaye ameugua kwa muda mrefu itakumbukwa ndio aliyesimamia kwa mafanikio makubwa Mashindano ya Urembo Tanzania na kuyapa umaarufu mashindano hayo.
Lundenga pia aliwahi kuhudumu kwenye Kamati ndani ya Klabu ya Yanga.
Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwake Boko jijini Dar.
🤣Washiriki wa miss Tanzania toka 1994 hadi 2019 kama sikosei hawawezi kumsahau mzee Lundenga.
Imagine nchi nzima watoto wa miaka 18 hadi 24 ndio Lundenga alikua akifanya nao kazi miaka yote hiyo😂.
Hivi ni kweli Faraja kaachana na mumewe?
Life ni Mtego tu aka PLATFORMNikiwa mkubwa nataka niwe kama yeye...😜
HakikaNmekumbuka mbali sana Miss Aspen
Home kulikuwa na kalenda ya Aspen..
Nadhani ilikuwa ni sigara?
Mr. ConnectorAnawala kwa kigezo kipi ? Yeye ndio jaji au wanakuwa hawana ada ya kuingilia mashindanoni ?
Na kama alikula wengi, na mshindi huwa ni mmoja tu, hao ambao ngono wamemlipa na hawakutangazwa washindi, hakuna miaka yote hiyo waliodai No Reforms No Mashindano ?? Yani alipeta tu kuwalala bure ?
Ulikuwa wivu tu,aliwazidi ujanja!!!Aliwahi tishiwa akifa hatozikwa,ngoja nione kama atazikwa na wale jamaa
Possibly, unakitu mkuu,,,funguka!! Teh tehLundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi baada ya kuzidiwa lakini muda mfupi baadaye akafariki.
Lundenga ambaye ameugua kwa muda mrefu...
Niliwahi soma kwa Mange .dahMrs Byesige una nini lakini????
Siti mtemvu alikuja kuvuruga kila kitu saivi haina ladha kabisaLaiti kama ange develop leaders kwenye taasisi yake huenda bado tungekuwa tunayasikia mashindano ya Miss Tanzania kwa mafanikio makubwa kama alivyoyatendea
BAIKOKO INATOSHA KUTUFARIJIRIP Lundenga, you left a mark, tangu umetoka tu na mashindano yamekufa, hawana hata nauli ya kumpeleka Miss World mtu mmoja tu!
Enzi za sinta nafikiri ungewasemea kina ntuyabaliwe, Angel damas, faraja kota, happiness magesse, Irene kiwia (huyu dada nlikuwa namuona mrembo) kushuka hukoHawa wazee ndio walileta misemo ya Laki si Pesa. Bata kila mahali enzi za kina Wema na kina Sinta mama ya J nature