Alimtesa kivipi?Kama kuna moto huyu anaenda kuoga maana yeye na yule Makengeza Makoye walijiona ufahari sana kumiliki MAKU. Huyu kabla ya kifo katahabika sana mpaka akaomba msamaha kwa mkewe akahamia Kibaha kutoka Kimara. Kifupi alimtesa sana mkewe.
Nikupe namba ya mkewe umuulizeAlimtesa kivipi?
Sema tu, si umeamua kuwa semaji la mkewe πNikupe namba ya mkewe umuulize
ushamba tu huo, wasipo enda Wana punguza idadi ya walaji au waki enda ndio ata fufukaKuna kipindi waislamu walisema akifa hawata enda kumzika kisa mambo ya umiss enzi ZILE.
Ndugu yangu upo wapi usije kua upo falme za kiarabu na HAMASI πππushamba tu huo, wasipo enda Wana punguza idadi ya walaji au waki enda ndio ata fufuka
I'm back bro, nime ingia Jana usiku.Ndugu yangu upo wapi usije kua upo falme za kiarabu na HAMASI πππ
WE MISS YOU.
Haina hata uhusianoKama kuna moto huyu anaenda kuoga maana yeye na yule Makengeza Makoye walijiona ufahari sana kumiliki MAKU. Huyu kabla ya kifo katahabika sana mpaka akaomba msamaha kwa mkewe akahamia Kibaha kutoka Kimara. Kifupi alimtesa sana mkewe.
Welcome backI'm back bro, nime ingia Jana usiku.
I mean no malice to nobodyWelcome back
Nini?...na bado unaziacha
Yeah ilikua ni sigaraNmekumbuka mbali sana Miss Aspen
Home kulikuwa na kalenda ya Aspen..
Nadhani ilikuwa ni sigara?
Faraja alikuwa mtamu ππHivi ni kweli Faraja kaachana na mumewe?
Faraja alikuwa mtamu ππ
Wakina liumba wakawa wanazigawa tuu,,kwa kuchagua number za mamisApumzike salama Mzee Lundenga
Kupitia miss Tanzania yake, ndipo magari maarufu ya Rav4 yalipojizolea umaarufu pia
Utasikia mrembo anakwambia naomba uninunulie Toyota Rav4 Miss Tanzania π€
Kweli wakati si milele