whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Mara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka
Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila show haya ndiyo mabadiliko ambayo nayaona.
Kila mwanamke namuona ni mzuri, natamani kila mwanamke na kila nikiona mwanamke na stimulate.
Akili yangu asilimia 99 inawaza mapenzi tu, nikiwa naongea na mwanamke yeyote namuwazia vibaya.
Kuchukua sheria mkononi hakuwezi kuchukua nafasi ya sex, sex ni sex tu.
Kwa mfano nikiwa natembea nikikutana na mtu namfata upande alipo mpaka tunagongana, hii nimeifanyia utafiki kila nikikaa mda bila sex inatokea.
Kulala na tumbo haiwezekani,
Ni ngumu sana kwa mwanaume rijali ku maintain abstinence, nilipanga niende mpaka mwakani ila kiukweli haiwezekani.
Nizidi kuwakumbusha msiuze mechi, kama mazingira hayaruhusu mwache aende.
Nawasha headlight kuanzia wiki hii na kuendelea.