whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
- Thread starter
- #21
Unamwona mtu anakuja mbele badala ya kumpisha unamfuataSijaelewa hapo kwenye kumfuata mtu hadi mnagombana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamwona mtu anakuja mbele badala ya kumpisha unamfuataSijaelewa hapo kwenye kumfuata mtu hadi mnagombana
Oa rafikiMara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka
Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila show haya ndiyo mabadiliko ambayo nayaona.
Kila mwanamke namuona ni mzuri, natamani kila mwanamke na kila nikiona mwanamke na stimulate.
Akili yangu asilimia 99 inawaza mapenzi tu, nikiwa naongea na mwanamke yeyote namuwazia vibaya.
Kuchukua sheria mkononi hakuwezi kuchukua nafasi ya sex, sex ni sex tu.
Kwa mfano nikiwa natembea nikikutana na mtu namfata upande alipo mpaka tunagongana, hii nimeifanyia utafiki kila nikikaa mda bila sex inatokea.
Kulala na tumbo haiwezekani,
Ni ngumu sana kwa mwanaume rijali ku maintain abstinence, nilipanga niende mpaka mwakani ila kiukweli haiwezekani.
Nizidi kuwakumbusha msiuze mechi, kama mazingira hayaruhusu mwache aende.
Nawasha headlight kuanzia wiki hii na kuendelea.
Niko mbioniOa rafiki
amini nachokwambiaSidhani kama ni kweli
Unatumia mbinu gani mkuu?amini nachokwambia
kipi kingine zaidi ya nyeto ?Unatumia mbinu gani mkuu?
Unamfuata hadi mnagongana!!!!Mara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka
Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila show haya ndiyo mabadiliko ambayo nayaona.
Kila mwanamke namuona ni mzuri, natamani kila mwanamke na kila nikiona mwanamke na stimulate.
Akili yangu asilimia 99 inawaza mapenzi tu, nikiwa naongea na mwanamke yeyote namuwazia vibaya.
Kuchukua sheria mkononi hakuwezi kuchukua nafasi ya sex, sex ni sex tu.
Kwa mfano nikiwa natembea nikikutana na mtu namfata upande alipo mpaka tunagongana, hii nimeifanyia utafiki kila nikikaa mda bila sex inatokea.
Kulala na tumbo haiwezekani,
Ni ngumu sana kwa mwanaume rijali ku maintain abstinence, nilipanga niende mpaka mwakani ila kiukweli haiwezekani.
Nizidi kuwakumbusha msiuze mechi, kama mazingira hayaruhusu mwache aende.
Nawasha headlight kuanzia wiki hii na kuendelea.
NdioUnamfuata hadi mnagongana!!!!
Hahaha noma sana.Unamfuata hadi mnagongana!!!!
Nilitaka kujua kama kuna uwezekano wa mwanaume ku abstain kwa muda mrefuMkuu kwani ulikua unataka ugundue nini?
Namsubiri mlengwa amalize MPAya tupe matokeo Mzee Baba
Nimejifunza kukaa bila sex kwa mwanaume haiwezekaniDuh mwaka siyo mchezo!!!
Kamanda ulijipa adhabu ndogo au kuna kingine ulitamani kujifunza?
Jipe changamoto, kaa mwakaMimi miezi 3 tu nachanganyikiwa
Ikutane na nyenzie ina moto....huo utamu utawafanya wapendane sanaChuma imewaka hiyooo 🔥🔥🔥
Haha hatupendani ataIkutane na nyenzie ina moto....huo utamu utawafanya wapendane sana