Mrejesho baada ya kukaa mwaka bila kujihusisha na mapenzi

Aah ulikua kwenye window period nini? Polee
Haha hapana, kipindi nikiwa kakijana na meno yote nilizama chocho hatari sana bila viatu, kwa miaka mingi. Ghafla afya ikazorota.

Nikasema ee Mungu nikikuta sijaungua sitarudia tena, ilinichukua mda sana kupima. Sijui ilikuwaj nikakuta negative mpaka leo shobo zimeisha, kama mazingira hayaruhusu napotezea.
 
Kwahiyo sasa hivi ndio unataka kuivunja ahadi uliyoiweka kwa Mungu kua hurudii tena?
 
Haha hapana, kipindi nikiwa kakijana na meno yote nilizama chocho hatari sana bila viatu, kwa miaka mingi. Ghafla afya ikazorota.

Nikasema ee Mungu nikikuta sijaungua sitarudia tena, ilinichukua mda sana kupima. Sijui ilikuwaj nikakuta negative mpaka leo shobo zimeisha, kama mazingira hayaruhusu napotezea.
Ooh basi Mungu ni mwema kwetu, hongera hili gonjwa linatisha sana basi tu. Viatu navyo sijui vinasumbua kutumia dah😂
 
Ukiwa busy inawezekana ila ukikaa iddle kidg tu utajilipua kwa sheria mkononi.

Japo mwaka ni ngumu sana aisee.

Yaani sperm usizitoe mwaka mzima kabisa labda uwe hujawahi kusex kabisa ila kama umewahi mara kadhaa kukaa mwaka lazima kichupa kijae sana, mwisho upasuke pumb* bure.
 
Hahaha hazipasuki, zikizidi sana zinacheza cheza
 
Suala gumu kidogo hilo.. Mie miezi kadhaa tu, dunguso likigusa paja linatutumka [emoji23][emoji1787], asubuhi ukiamka RUNGU KIPEPE ni la motoooooo...

Hapa katikati kuna kijini kinakuja ndotoni nakimwagilia maji ya uzima, sijui kimenogewa, kinakuja mara kwa mara, nami silembi, nakifumua tu. [emoji23]
Ww ni bangi [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom