Mrejesho baada ya kukaa mwaka bila kujihusisha na mapenzi

Jogoo kama halijapata tetea Huwa linataga viyai vidogo. Sas wewe ni jogoo ambalo halijapata tetea kwa mwaka mmoja. Nawaza umeshataga kiyai au bado😬
 
Kumbe una kadi ya chama pendwa, halafu unasema hujamwaga, kama ni hivyo mbona ni rahisi, nafikiri ungekaa hiyo miezi bila kutoa mbegu zako kabisa ndio ungekuja hapa na madini ya kutosha,vinginevyo unapoteza muda wako bure.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu zikizidi hata uchukue sheria mkononi haisaidii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umeongelea negative impacts pekee vipi faida hamna hata moja? Hujapigwa vizinga,umejiepusha na mengi(magonjwa)πŸ˜‚
 
Pole sana bloangu.

K ilivyokuwa tamu yaani mwaka mzima hujaichakata?

Chaputa noma sana,hapa utashangaa ukikitana na demu tena unapata aibu kubwa sana.

Ukiwa unagonga mara kwa mara kwa xperience yangu unakuwa strong sana na afya ya mwili hukaa vyema mno.
 
Nakiwasha mkuu, na nitaoa siku za karibuni Mungu akipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…