Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

mtaji wenyewe ninao sasa!?[emoji16] anyway kuna vitu nyingi sana vya kufanya inshu mitaji
Mkuu haya mambo we yaangalie juu juu hivi hivi...! Mie nilianza na almost zero! Ntakupaga histry yangu pm ya safari za kwenda machimboni! Unaweza anza na 10gms...hapo hukosi 40k faida...watu walianza na 300k..nini 4m?

Yaan kama una mtaji wa gramu 10 ukawwza kwenda jikoni mara 2 kwa sku au 3 unapata kafaida kako kazuri unapanda mdo mdo!

Haya masuala ya kuambiwa sijui.mtaji uanze na mamilioni tupa kwa dustbin...ni kukatishana tu tamaa..anza na ulichonacho!utaona connection zitakavyofunguka hadi utahis uchawi!
 
Ushauri murua
 
Nakusubiri Pm, najua bado tunamambo mengi ya sana ya kuongea[emoji120]
 
Eeh eeh
 
Dah! Mambo Mazuri sana haya
Mpaka nimetamani huu uzi uwe endelevu, una mambo mengi Mazuri ya kujifunza na kuhamasisha.
Shukran mtoa post na mkuu
Wangari maathai.
Muda siyo mrefu tutakutama huko.
 
Dah! Mambo Mazuri sana haya
Mpaka nimetamani huu uzi uwe endelevu, una mambo mengi Mazuri ya kujifunza na kuhamasisha.
Shukran mtoa post na mkuu
Wangari maathai.
Muda siyo mrefu tutakutama huko.
Niliahidi na naendelea kuahidi nitakuwa natoa feedback kila baada ya miezi sita, hivyo desemba hii nitakuja kuwajulisheni wapi nimefikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…