Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Ila mzee Grahams mi wazo langu siku 1 tutest kiwanda Cha sabuni.
👉Maji au soda.
Huo ni Uwekezaji Mkubwa lakini pia Kuna kazi ya kufanya kuweza ku-penetrate Soko as limekuwa Monopolized na hizo Kampuni tunazozifahamu hasa Kwa biashara ya Soda.

Ila kuhusu Maji naweza kukuunga Mkono ukizingatia hitaji la Maji limekuwa kubwa sana hasa Maeneo ya Mijini.
 
Tutaona tu mkuu, kesho nita leta Uzi wa kuuliza kuhusu kiwanda Cha sabuni ya unga.
 
Tutaona tu mkuu, kesho nita leta Uzi wa kuuliza kuhusu kiwanda Cha sabuni ya unga.
Nikipata nafasi nitakufanyia Tathmini ya Kiuchumi na Fedha (Financial and Economic Appraisal )

Sitakupa Kitabu cha ripoti as could be detailed one lakini nitatoa comment kuwa kinaweza kulipa Faida ama itakuwa biashara yenye hasara
 
Usijali Mkuu

Kama utahitaji kufanya hiyo biashara ya Kiwanda cha Sabuni

Utajenga Kiwanda/jengo ama utakodi warehouse na kufanya Kiwanda?

Unategemea kitakuwa Mkoa/Mji Gani?
Bado Sana mkuu, 2025 mwishoni labda !!.
👉 Maana hicho sio Cha presha, beside siko mwenyewe mkuu.
 
Back
Top Bottom