ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Wajanja sana hao mabinti.
Huyu wa kwangu alijitambulisha kwamba anafanya kazi Duka la dawa, kumbe anafanya biashara ya kuuza mwili
Kwasasa sipangishi Binti Single
Wengine wamejipanga na pesa wanayo sababu jamaa aliongeza kodi mara kama kumfukuza akitegemea atasema siwezi kulipa.
Dada wala hakutetereka, akalipa siku hiyohiyo. Jamaa akaona isiwe case, ngoja akae hadi mwisho wa mkataba wake. Abadilishe matumizi ya nyumba.