Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mkuu kwa mtu ambae anataka kuwekeza kwenye uchimbaji kwa kiwango cha kati unamshauri awe na nini na nini ?Biashara ya Uchimbaji ina changamoto nyingi sana hasa Kwa small scale Mining.
Nilijaribu wakati fulani, lakini Kila nikifanya tathmini mwisho wa mwaka naona napata hasara tu za vibarua na materials
Hivyo nili- quit
Shukrani Kwa mchango wako Chanya, nitafanyia kazi hili.
Barikiwa 🙏🙏🙏
Shukrani Kwa Elimu hii MkuuAirbnb ni unapangisha chumba/ nyumba kwa muda wowote kuanzia siku, wiki, mwezi, hadi miezi mitatu nk. Unafanya haya kupitia platform/ mtandao wa Airbnb.
NI hivi badala ya mfano wewe mwenye ku-advertise nyumba yako kupitia dalali, unaiweka kwenye website ya Airbnb unalipa pesa kidogo mpangaji anakutafuta pale mnakutana moja kwa moja hapo sokoni mpangaji anachagua ayatoka analipia unapata pesa zako chap.
Kiufupi inarahisisha sana mambo mfano una watoto saba unataka kwenda holiday au wewe na washkaji zako wanne mmeamua kwenda morogoro kwa siku tatu mnapangisha nyumba moja badala ya kuchukua hotel na vyumba tofauti. Kiufupi unapata huduma zote utakazopata nyumbani kama jiko, washing machine, na vingine.
Siyo kama hotel, lodge, hostel, guest ni kama unahamia nyumba nyingine kwa muda mchache kutoka nyumbani kwako sababu inatokana na wewe mwenyewe.
Sasa ukiondoka unaacha review, rate, marks ulipapenda, usalama, usafi, facilities nk. Na yeye mwenye nyumba anaacha review kuhusu wewe ni msafi, hukufanya fujo na kuvunjavunja TV, hukuacha, bangi na gongo kila chumba nk.
Hizo review ni ukiwa nazo nyingi positives (chanya) unaweza ku-kodi nyumba yako kwa urahisi. Zikiwa negatives. (hasi) nyingi kupata wateja itakuwa vigumu.
Vivyo hivyo kwa mpangaji na yeye kwenye profile yake kuna hasi na chanya. Kama hasi ni nyingi, kupata nyumba itakuwa vigumu sababu wenye nyumba wanangalia kwanza feedback historia yako kwanza kabla hawajakukubali. Umeelewa?
![]()
Airbnb | Dar es Salaam – Holiday Rentals & Places to Stay - Dar es Salam
Rent from people in Dar es Salaam, Tanzania from £16/night. Find unique places to stay with local hosts in 191 countries. Belong anywhere with Airbnb.www.airbnb.co.uk
Muhimu upate kitalu ambavyo vinauzwa/Kukodishwa na Ofisi za Madini za Wilaya, ambapo huwa ni surveyed plotsIla mkuu kwa mtu ambae anataka kuwekeza kwenye uchimbaji kwa kiwango cha kati unamshauri awe na nini na nini ?
Usijaribu hiyo biashara ina laana mno hapa mtwara kuna ndugu yetu Alhaji Lipaja alienda mpaka kuhiji mji mtakatifu wa maka na siku zote biashara yake ni hiyo yeye ana chumba kama 40 hivi na malaya wakimlipa 80000 kwa mwezi sasa zidisha 80000x40.... Aliporudi kuhiji alishauriwa mno aache hiyo biashara akawa anajibu kijeuri kuwa yeye kawapangisha tu hajui kinachofanyika vyumbani baada ya muda aliumwa sana akakatwa miguu yote miwili na mikono yote miwili kiufupi tumemzika hana mikono wala miguu je unadhani atamjibu nini Allah?Mimi nafikiria kufungua danguro kama yule jamaa wa Riverside
Malaya wanamlipa nadhani kwa siku 5,000 ana vyumba kama 20 hivi
Na kuna vyumba utakuta malaya hata 3 wanashare kwa hiyo jumla analipwa 15,000
Tuseme tu kila chumba malaya 1 ina maana 5000× vyumba 20= 100,000
Uzuri wa malaya wako kazini kila siku
100,000×365=36,500,000
Meneja ukilimpa 450,000 si haba ukitoa na gharama nyingine za uendeshaji kama umeme, maji, maintenance hukosi kitu
Nafikiria maeneo yenye migodi ya wachimba madini kama Chunya, Mererani na Geita inaweza kulipa au miji mikubwa ya Tanzania
Hiko kisa mbona kinatia huzuni sanaUsijaribu hiyo biashara ina laana mno hapa mtwara kuna ndugu yetu Alhaji Lipaja alienda mpaka kuhiji mji mtakatifu wa maka na siku zote biashara yake ni hiyo yeye ana chumba kama 40 hivi na malaya wakimlipa 80000 kwa mwezi sasa zidisha 80000x40.... Aliporudi kuhiji alishauriwa mno aache hiyo biashara akawa anajibu kijeuri kuwa yeye kawapangisha tu hajui kinachofanyika vyumbani baada ya muda aliumwa sana akakatwa miguu yote miwili na mikono yote miwili kiufupi tumemzika hana mikono wala miguu je unadhani atamjibu nini Allah?
Ndugu yangu ukianza kufuatilia maisha ya wafanyabiashara mambo meusi ni mengiUsijaribu hiyo biashara ina laana mno hapa mtwara kuna ndugu yetu Alhaji Lipaja alienda mpaka kuhiji mji mtakatifu wa maka na siku zote biashara yake ni hiyo yeye ana chumba kama 40 hivi na malaya wakimlipa 80000 kwa mwezi sasa zidisha 80000x40.... Aliporudi kuhiji alishauriwa mno aache hiyo biashara akawa anajibu kijeuri kuwa yeye kawapangisha tu hajui kinachofanyika vyumbani baada ya muda aliumwa sana akakatwa miguu yote miwili na mikono yote miwili kiufupi tumemzika hana mikono wala miguu je unadhani atamjibu nini Allah?
Nikweli alikuwa na kisukari ila dakika za mwisho alikuwa analia sana anamuomba Allah amsamehe kwasababu hakukuwa na msaada mwingine kwake au kimbilio jingine zaidi ya huyo aliyeziumba Mbingu na nchi...kaka ni pesa tu mimi nakushauri achana na kuwaza hiyo biashara ya pombe jiulize swali dogo je unapenda mwanao aje kuwa mlevi?Hiko kisa mbona kinatia huzuni sana
Pole sana Kwa huyo Mzee.
Ila mbona ni kama huyo Mzee alikuwa na Kisukari kutokana na hayo unayosimulia.
Anyways utafutaji una mambo mengi Mkuu
Bonge la biashara MkuuMimi nafikiria kufungua danguro kama yule jamaa wa Riverside
Malaya wanamlipa nadhani kwa siku 5,000 ana vyumba kama 20 hivi
Na kuna vyumba utakuta malaya hata 3 wanashare kwa hiyo jumla analipwa 15,000
Tuseme tu kila chumba malaya 1 ina maana 5000× vyumba 20= 100,000
Uzuri wa malaya wako kazini kila siku
100,000×365=36,500,000
Meneja ukilimpa 450,000 si haba ukitoa na gharama nyingine za uendeshaji kama umeme, maji, maintenance hukosi kitu
Nafikiria maeneo yenye migodi ya wachimba madini kama Chunya, Mererani na Geita inaweza kulipa au miji mikubwa ya Tanzania
Shida ya huyo mzee sio kufa ila shida ni kuwa bidii zote za hospital zilifeli ikawa kimbilio lake yeye na nafsi yake ilikuwa ni kwa Allah pekeyake hiki kisa nikikusimulia kinatisha sana hakika huyo mzee amefariki huku anatoka machozi ya majutoNdugu yangu ukianza kufuatilia maisha ya wafanyabiashara mambo meusi ni mengi
Huyo jamaa siyo kwamba biashara hiyo ndiyo imemsababishia mtu yeyote anaweza kupatwa na magonjwa na kufa
Nimekuelewa Mkuu, ila hata kama hutauza wewe lakini wengine wanauzaNikweli alikuwa na kisukari ila dakika za mwisho alikuwa analia sana anamuomba Allah amsamehe kwasababu hakukuwa na msaada mwingine kwake au kimbilio jingine zaidi ya huyo aliyeziumba Mbingu na nchi...kaka ni pesa tu mimi nakushauri achana na kuwaza hiyo biashara ya pombe jiulize swali dogo je unapenda mwanao aje kuwa mlevi?
Kwenye utafutaji hutakiwi kuangalia hivyo vitu.Shida ya huyo mzee sio kufa ila shida ni kuwa bidii zote za hospital zilifeli ikawa kimbilio lake yeye na nafsi yake ilikuwa ni kwa Allah pekeyake hiki kisa nikikusimulia kinatisha sana hakika huyo mzee amefariki huku anatoka machozi ya majuto
Nikweli ndio maana kila nafsi itahukumiwa kivyake...Nimekuelewa Mkuu, ila hata kama hutauza wewe lakini wengine wanauza
Ukifatilia sana hizo habari utagundua hata nyumba za Kupangisha ni dhambi pia.Nikweli ndio maana kila nafsi itahukumiwa kivyake...
Shukrani Kwa Elimu hii Mkuu
Kuna jamaa angu anataka kuwekeza Kigoma huko.
Nimemshauri aache, Kigoma haina muingiliano Mkubwa wa Wageni zaidi ya wale jama zetu wa Burundi
GeitaNahisi nikiandika Kila kitu Kuna watu watakonect dot na kunitambua ..
Ila biashara yangu ipo kwenye Wilaya Moja yenye biashara ya Uchimbaji wa Madini ya dhahabu Kwa wingi.
Kama utakuwa mdau wa Uchimbaji basi unaweza kuwa mteja wangu Siku za usoni
Karibu sana kunisapoti
Yeah umesema sahihi kuhusu Mwanza, kule pana shida sana ya Lodge zenye viwangoKule labda guesthouses and very cheap lodges. Mwambie asogee Mwanza hapo kuna uhaba mkubwa wa Lodges zenye viwango vya kuridhisha. Chache ziliizopo nyingi zimejaa muda wote.
Masasi, Tunduma kuna uhaba mkubwa wa Lodges zenye viwango ila ni sehemu zilizochangamka.
Ukifatilia sana hizo habari utagundua hata nyumba za Kupangisha ni dhambi pia.
Mimi nilikuwa na mpangaji Binti wa kama miaka 22 hivi, kumbe alikuwa anajiuza maana wanaume walikuwa wanaingia mule ndani Kwa kupishana.
Zile ndiyo wanaitaga huduma za short time eeh?
Maana Kila baada ya nusu saa ama saa Moja anaingia mtu mwingine
Niliamua kumwondoa baada ya kujua anayoyafanya
Wajanja sana hao mabinti.Kuna rafiki alipangisha nyumba yake sehemu flani eneo la kishua kwa mwanadada mmoja mrembo anamtajia bei ya kupanga ambayo wengi wanaikimbia yeye hana wasiwasi kabisa na ataka kulipa kwa Mwaka. Akaona poa huyu atamfaa.
Baada ya muda alikuja kugundua anafanyia massage yeye na wenzake wawili humo ndani. Na nje ameweka kibao kabisa. Alipogundua alimuongezea kodi na akampa notice mkataba ulipokaribia kuisha, ulipoisha akabadilisha matumizi ikawa office.