Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Sinywi, sivuti na Sina makando kando.Hutumii hata Mvinyo?
Kwa kuwa nitapita Dodoma nilitaka nije na Dodoma Wine 😜
Hilo la Location imekaa vizuri, nitafurahi kutembelea
Huo ni Uwekezaji Mkubwa lakini pia Kuna kazi ya kufanya kuweza ku-penetrate Soko as limekuwa Monopolized na hizo Kampuni tunazozifahamu hasa Kwa biashara ya Soda.Ila mzee Grahams mi wazo langu siku 1 tutest kiwanda Cha sabuni.
👉Maji au soda.
Tutaona tu mkuu, kesho nita leta Uzi wa kuuliza kuhusu kiwanda Cha sabuni ya unga.Huo ni Uwekezaji Mkubwa lakini pia Kuna kazi ya kufanya kuweza ku-penetrate Soko as limekuwa Monopolized na hizo Kampuni tunazozifahamu hasa Kwa biashara ya Soda.
Ila kuhusu Maji naweza kukuunga Mkono ukizingatia hitaji la Maji limekuwa kubwa sana hasa Maeneo ya Mijini.
Sawasawa, jobless pro max nami nipate mkate🤒.Hongera sana kuweza kuvuka hivyo vishawishi...
Nitaongea na Baba askofu pale Kawe akupe kitengo hata cha Sadaka tu 😜
Nikipata nafasi nitakufanyia Tathmini ya Kiuchumi na Fedha (Financial and Economic Appraisal )Tutaona tu mkuu, kesho nita leta Uzi wa kuuliza kuhusu kiwanda Cha sabuni ya unga.
Nita shukuru mkuu, jobless pro max nami siku 1 niache legacy 🤒Nikipata nafasi nitakufanyia Tathmini ya Kiuchumi na Fedha (Financial and Economic Appraisal )
Sitakupa Kitabu cha ripoti as could be detailed one lakini nitatoa comment kuwa kinaweza kulipa Faida ama itakuwa biashara yenye hhasa
Ibada ya kuanzia saa 6 usiku ni nzuri mno, na Ina baraka pia.Kila la heri
Mimi nasubiri ifike saa 8 usiku nifanye Ibada ndiyo nilale
Usijali MkuuNita shukuru mkuu, jobless pro max nami siku 1 niache legacy 🤒
Bado Sana mkuu, 2025 mwishoni labda !!.Usijali Mkuu
Kama utahitaji kufanya hiyo biashara ya Kiwanda cha Sabuni
Utajenga Kiwanda/jengo ama utakodi warehouse na kufanya Kiwanda?
Unategemea kitakuwa Mkoa/Mji Gani?
Nime vurugwa, Kuna ka suala Kali bidi kaishe.Unafanya mazoezi hadi kuwa Upsidedown?
Ila Kati ya mwanza/ shiyanga hizi ndo chaguzi zangu.Usijali Mkuu
Kama utahitaji kufanya hiyo biashara ya Kiwanda cha Sabuni
Utajenga Kiwanda/jengo ama utakodi warehouse na kufanya Kiwanda?
Unategemea kitakuwa Mkoa/Mji Gani?
Okay ila mara nyingi nakuona huwa unacomment usiku mnene.Nime vurugwa, Kuna ka suala Kali bidi kaishe.
👉Napigia hesabu nika fanye saa 12, ili nijipe muda kutimiza mambo mengine.
Watoto 😄, hata mke sina- Sina hata mpango kwa sasaOkay ila mara nyingi nakuona huwa unacomment usiku mnene.
Seems hujaupa Usingizi umuhimu
Jitahidi uwe unalala usije kusumbua Watoto ukizeeka
Ndoa kwa Zama hizi ni taasisi iliyo shindwa kuji tetea😄.How old are you?
Tembelea Vituo vya Afya/Shuleni katafute Mchumba huko mtakaye kuwa mnasaidiana majukumu maana inaonekana unaogopa maisha