Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

Hii ni idea nzuri sana, Kwa njia hii unaweza jikuta unamiliki Lodge/Hotel hata City Center

Suala la maintenance Watanzania wengi Huwa hatuzingatii.

Mwaka Jana nilitumia sikukuu za mwisho wa Mwaka kufanya ukarabati kidogo wa nyumba za Wapangaji, nilifanya ukarabati wa kubadirisha rangi tu.

January hii wamerudi nikaona wananipigia simu kusema mbona nyumba imebadirika na kuwa mpya, wanahisi nataka kuwaongezea Kodi.

All in all maintenance is a must doing thing especially in real estate business
 
Babu Hongera Sana Sana kwa hiyo hatua ni wengi tunatamani kufanya kitu Cha hivyo tatizo ni vyanzo
Kwa startup business huwa ni ngumu sana kupata investment capital.

Mfano mwenyewe nimetumia miezi 12 kukamilisha Mradi, ambapo ningekuwa na fedha za kutosha ningejenga Chini ya miezi 3 hadi kukamilisha kwake
 
nina ujuzi juu ya masuala ya umeme na IT.... kwenye hii kero yako ya vijana kuharibu kamera,. muelekeze mtaalamu wako anaekufungia kamera, naamini atakusaidia kwa urahisi tu....kwasasa tuna mini-cameras unazoweza connect na Smart phone yako lakini itakutaka uwe na internet connection muda wote...hivyo unaweza ongeza huduma ya wi-fi kwa wateja wako, hata wa VIP tu kwa kuanza lakini huku ikiendelea kukusaidia na wewe kwenye ulinzi wa mapato yako... kipindi najitafuta nimechimba sana madini huko, kwanzia mawelu,mapapai,soweto,sangambi, isoko mpaka igundu huko...hivyo huko ni nyumbani naamini naweza kuja kukutembelea ndugu... KAZI NJEMA kwako
 
Haya ndiyo mambo tunahitahi humu kwakuwa ni mafunzo kwa sisi wajasiliamali, hongera sana
 
Hata yule msamaria alipomsaidia mtu aliyejeruhiwa na kuporwa na wanyamg'anyi alimpeleka nyumba ya wageni na kumkabidhi pale na kumlipia cost ambazo angetumia kuuguzwa.

Wachungaji wa kimataifa na wageni wanapofika hufikia hizo lodge!

Ukiwa religious sana ni tatizo utajikuta unajichanganya mwenyewe. Mambo ya dini yanahitaji hekima kuu
 
hakuna unafuu w

View:
hakuna%20unafuu%20wowote%20mtu%20wa%20cpa%20utamlipa%20kiasi%20ganiakufanyie%20hizo%20hesabu%20na%20kuzipeleka%20tra..watu%20wa%20traunaweza%20kukaa%20nao%20na%20kuzungumza%20kodi%20za%20kukadiriana%20hazina%20shida%20labda%20uongee%20vibaya....au%20labda%20iwe%20kampuni%20kubwa%20...kodi%20hata%20m5%20haifiki%20uanza%20kuajiri%20muhasibu%20wa%20cpa...
 
Wengi tunaishia kwenye mipango kama hv,
Wenye uthubutu ni wachache!!
Ukiwa na nia unaweza kufanikiwa hasa ukitia bidii.

Mfano suala langu la Lodge nilitia nia Mwanzoni mwa Mwaka 2021 lakini miezi 12 baadaye ndiyo nikaanza ku-impliment

Hili la Pub naweka nia alafu najipa miezi kadhaa ya Kujitafuta, ikitiki nitaleta Mrejesho hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…