Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

SEMA huna pesa bro! Au pesa yako ya mawazo!huwezi kulinganisha shule za, English medium(mfano Martin Luther Dodoma, kemebos, kaizirege bk) na, uchafu wa st kayumba!!
Mtoto anatembea km 4 kila siku, wenzie wapo kwenye basi!
Kusoma kuna hitaji uturivu, sio mavumbi, kelele,darasa moja watoto 100!
Mi nimesoma st kayumba tena Dar miaka hiyo 96,darasani mpo 100,mwalimu atasaishaje madaftari!
 
Maskini mnafarijiana au sio. Waza madogo upate kidogo waza makubwa upate makubwa. Somesheni watoto shule bora ni haki yao ya msingi.

Sitaki povu

Kama unampeleka mtoto wako English Medium ili apate elimu bora basi u have got a very little understand of what the true education is.

The true education is that which enables you:

1. To acquire power.

2. To maintain power.

3. To protect power.

Sio hii elimu ya mkoloni " colonial education " ambayo Lengo lake ni kumuandaa wanafunzi ili afaulu mitihani yake na mwisho wa siku aka ajiriwe.

Tanzania hakuna elimu bora
 
Wahindi.kwani hawasomeshi.?

Wahindi wanasomesha watoto theory na practical waweza anza practical baadaye wakawapeleka theory au vise versa lakini yote yanakuwa related na business husika za family business

Mfano mhindi ana duka anamshirikisha mtoto kuuza dukani lakini atamhimiza sana kusoma hadi apate digrii ya business administration aje ku run hiyo business Haishii tu kuuza duka tu kama wakinga au waswahili
 
Sio kweli

Mfano una Hospitali au kampuni ya wanasheria au ya engineering au uhasibu inayohitaji certification ya elimu au unamiliki chuo kikuu private au unamiliki shirika la ndege unataka wanao wawe ma pilot hoja yako haina mashiko labda unaongelea.biashara za umachinga

Serious business mtoto mtoto anatakiwa kusoma sana sio utani

Watoto wa wahindi,waarabu kama ASAS, Bakheresa, Dewji wamesoma sio utani hasa kwenye vyuo best universities in the world baada ya kfauku sana shule Tanzania na walipomaliza wakaja ku.run family business
 

1. Mtoto anatembea kilo mita 4 kila siku wenzake wanakaa kwenye gari. ( MKUU HUZIJUI FAIDA ZA KIAFYA ZA KUTEMBEA UMBALI MREFU ? Nenda ka google " Health benefits of walking" kukurahisishia tu ni kwamba hakuna mazoezi yenye afya kwa mwanadamu kama mazoezi ya KUTEMBEA muda mrefu. Moja kati ya FAIDA hizo ni pamoja na kuimarisha Misuli ya moyo ( kwa FAIDA ya wote kwenye mguu wa kushoto kuna misuli ambayo ipo connected na moyo. So unapokuwa unatembea unakuwa unaimarisha misuli ya moyo. Mtoto KUTEMBEA kilo mita nne kila siku kwa miaka saba ni bonge la advantage kwake kiafya. In addition to that kama ni mtoto wa kiume pia inasaidia kuimarisha misuli ya uume" penile muscles " na kustabelize hormones za kiume.


2. Darasa moja kuwa na wanafunzi mia vs darasa moja kuwa na wanafunzi 20:

Mtoto anatakiwa kukaa kwenye darasa la watoto wengi ili aweze kupata challenge kutoka kwa watoto wenzake... isitoshe huo ndio uhalisia wenyewe katika maisha kwa sababu huku mtaani kila sehemu ni watu kibao. So mtoto alie soma kwenye darasa lenye watoto mia anapokuja kwenye maisha halisi, uwepo wa watu wengi kwenye jambo lolote hauwezi kuwa changamoto kwake, mfano siku akienda kwenye interview ambayo shortlisted wapo watu elfu moja na wanao hitajika ni watu kumi, kwake haiwezi kuwa tatizo wala hawezi kuwa shocked kwa sababu alikuwaga anakuwa mtu wa TANO kati ya watoto 230. Kwa mtoto aliesoma kwenye darasa lenye wanafunzi 20 kwake hii itakuwa changamoto.

Kama hiyo haitoshi, chuo kikuu mfano UDSM kozi nyingi huwaga ni watu kuanzia mia 2 na ushee. Kuna kozi kwa mfano Education huwaga zina watu hadi mia 600 na zaidi. Mtoto wa kayumba hii haitamsumbua lakini st.junior hii itamsumbua.


Kingine mtoto akiwa kwenye shule yenye watoto wengi inamsaidia kujuana na watu wengi na hivyo kutengeneza network kubwa ( wanasema ur network is ur networth)

Tofauti na huyo wa darasa moja watoto 15, anakuwa hana network kubwa au atakosa network kabisa kwa sababu shule hizo hufundishwa pia tabia za kizungu kama vile ubinafsi .
 
Hongera kiongozi

Mimi nilishafanyaga maamuzi
  • Primary watoto wa kiume wanasoma kayumba, wakike English medium
  • Secondary Olevel kama watachagulia special schools nitawaacha huko otherwise nawapeleka private kali itakayowajenga vizuri waweze kuvuka form 4.
  • Advance kama watachagua science nawapeleka private na kama wakichaguliwa special school gov nitawaacha, kama watachagua arts nitawaacha popote hata government.

    Route niliyopitia mimi, Primary Kayumba>Olevel Private>Advance Government, tho nilipambana sana kutoboa PCB,na chuo Government.
 
Hongera sana mkuu
 
Kama pesa hipo muwache mtoto anasomea kwenye shule wanayo keti darasani wanafunzi 45 na kila mtoto na kiti chake na meza

Kila choo kina bomba la mja na bafu safi uji wa ulezi asubuhi kila mala mtoto yuko safi kila likizo mzazi unamfuata mwanao na gali safi na baada ya likizo unamludisha hiyo ndio kazi ya pesa

Kama huna kama mimi muwache mtoto asome kayumba darasa 1 wanafunzi 100 wanaketi chini njaa yake kila siku saa 4 foleni ya mihogo ya kukaanga na kachri

Shule yenye watoto 800 matundu 10 ya vioo kabla ya mtoto kulifikia tundu anaanza kukutana na mkojo mita 5 na vinyesi kuta zote zime tapakaa vinyesi maji hakuna kila asubuhi mtoto lazima aende na kudumu cha lita 3 za maji na ufagio jua lake mvua yake kulala kwake saa 3 kuamka saa 11 kuwai daladala akipata bahati konda anampakia au anasalia kituoni mpaka saa 2 kufika shuleni 3 asubuhi kwa wakazi wa dar sisi mikoani mtoto yeye na baisikeli kila kukicha kilometa 5 mpaka 3


Wakitoa mchango wa unga na mchele na maharagwe hili wale shuleni chakula chote wanakula walimu chagua wewe mtoto wako umpeleke wapi
 
Ume exaggerate mkuu
 
Safi sana mkuu so umewahamishia kayumba? Wapo darasa la ngapi?
Mkuu ni a nice story,kama wewe ni mtu wa kujifunza unaweza kujifunza kitu.My own story kwa watoto wangu is as follows:
1.STD I-VII-Shule za kawaida.
2.Form I-IV -Private Schools
3.Form V-VI-Government Schools
4.Katika watoto wangu ambao nimewapitisha Shule hizo,Wawili wamemaliza MSc.Mmoja Mzumbe University yuko Bank,na mwingine UDSM naye yupo Bank.Mtoto mwingine
amemaliza Muhimbili ni Surgeon.Watoto wengine wawili wamemaliza SUA wana BSc.Agri.Business na wote ni employed,mmoja yuko Bank,mwingine yupo World Vision.Mtoto mwingine amemaliza Second Year IFM anakwenda Third Year,huyu anachukua Economics and Finance.Wa mwisho amefaulu kwenda Form V atachukua CBG(Chemistry,Biology and Geography).So you see,obviously kutopitia Shule za English Medium haijawaathiri kabisa,na wameniambia categorically,baba,it is wastage of resources kuwapeleka watoto English Medium Schools,na nime-prove it first hand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…