Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Zile ndio shule sasa kusomesha Kayumba ni umasikiniHata Kawe ukienda utakuta magari yamepaki yanasubiria watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile ndio shule sasa kusomesha Kayumba ni umasikiniHata Kawe ukienda utakuta magari yamepaki yanasubiria watoto
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walisoma silabasi ya uingereza na mitihani ilitoka Kembriji, ilisahihishwa Kembriji na matokeo yalitokea Kembriji.
Ila yule msanii mpigangoma na mjuaji wa kila lugha ni zao la UPE.
Ahaa so unalipa mamilioni ili mtoto wako.akakaririshwe sio?
Fanya kitu kulingana na uwezo wako. Pia calculate risks kabla ya kufanya kitu chochote. Jiulize mpango wako wa fedha ukoje kwa miaka 7 ijayo ya mwanao huko English medium. Ukiona huelewi peleka St Kayumba. Kusema kwamba English Medium wanatoa watoto mayai ni zile stori za sizitaki mbichi hizi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] ptoooh mbaka. Nimewakumbuka wazee wa boom. Hivi bado serikali inawakaba? Maana kumepoa kweli sasa hv.
Huwa wanatia huruma jamani.Ukabe watu wasioweza kukulipa [emoji16][emoji16]
Lakini kuondoa ile penalty naona imetoa unafuu
Hapo tupo pamoja ila hilo toto chafu la kishua bila shaka kwa sasa lina maisha safi 😁😁. Maana ukitokea familia nzuri halafu kichwani akili ikiwepo, kutoboa ni mustNi kweli. Mimi ninamshukuru Mungu kusoma hizo shule za kitaifa kwasababu tulichanganyikana na watoto wa kishua wengi sana. Nakumbuka kuna toto moja la kishua lilikuwa chafu muda wote. Yaani hata maandazi unakuta kaweka kwenye mfuko wa suruali 😂. Imekuja NECTA kagonga 1.9 shule za serikali zenye shida ni hizi za kata. Ila Tanga tech, Kibaha, Ifunda, Bwiru, na zingine za kitaifa ziko sawa na private.
English Medium ndio wanakaririsha mkuu hilo mbona Lipo wazi. Wao Lengo Lao mtoto afaulu ili watangaze jina waendelee kupiga hela zaidiMkuu acha unafiki
Hivi English Medium such as IST,HOPAC au Braeburn au yeyote ile na Kayumba zipi zinakaririsha?
Ndugu punguza unafiki,haukusadii
😁😁😁 mzee alideal na kutoa unafuu kwa "wanyonge"... Nyie elite na working class ilikuwa ni zamu yenu kuonja joto la "jiwe"Huwa wanatia huruma jamani.
Ila jiwe aliwakosea sana hawa watoto wa wakulima na wafugaji. 15% kweli na makato yote hayo? Daah
Mkuu suala la kumfuatilia mwanao ni wajibu na jukumu lako sio mpaka mtoto awe English medium school.I doubt nyie jamaa kama kweli mlipeleka watoto wenu kwenye hizo English Medium schools to begin with!
I really doubt
Maana huyo mjinga kaongea kitu na wewe umeshabikia as if ni kweli!
Kizazi changu tulisoma Kayumba kama wewe!
English medium schools zote,IB framework ,engagement ya mzazi na homework za watoto ni LAZIMA on the daily basis tofauti na nilipokua Kayumba mimi binafsi
Kayumba hazina homeworks nyingi kama English Medium,wote tumepita Kayumba tunalijua hili...Homeworks ilikua ni nadra
Kayumba mzazi analazimishwa kumfundisha mtoto kwa framework ipi maana hakunaga,ila English Medium kuna framework maalumu mtoto na mzazi kwa lazima ni lazima mfanye homework pamoja kila siku na kuna fomu mzazi unasaini sehemu yako na mtoto anarudi nayo shule asubuhi mnasahihishwa
Kayumba tulizosoma sisi kuna framework za namna hii za kumlazimisha mzazi kumsaidia mtoto kwa lazima kimfumo?
HAKUNA
DuhEnglish Medium ndio wanakaririsha mkuu hilo mbona Lipo wazi. Wao Lengo Lao mtoto afaulu ili watangaze jina waendelee kupiga hela zaidi
Na gharama zake si kubwa sana ila tatizo tumekaa kimasikiniZile ndio shule sasa kusomesha Kayumba ni umasikini
Umesema vyemaNa gharama zake si kubwa sana ila tatizo tumekaa kimasikini
Usione Wahindi wanakatalia Kariakoo, hawataki kukaa na masikini maana watawasababisha maisha wayaone ya kawaidaUmesema vyema
Mie Kuna wengine somo la English lenyewe nilikuwa nawazidi. Pia sio guarantee saivi kugharimikia English Ila contents is the same. Mie nakomaa waipate kwa kayumba.Nimesoma government chekechea hadi chuo ila kiukweli mchamgo wa English medium ni kingereza tu,olevel nilisoma shule ambayo tulikua tunakutana na watoto waliotoka medium sikuona maajabu yao labda ile miezi ya kwanza form one baada ya apo wote tulikua sawa tu make hata kingereza sio kwamba walikua wanajua sana sema tu confidence walituzidi
Jiwe alikua mshamba[emoji23][emoji23] alikuja lipa kisasi kwa makosa ya wazazi wake[emoji16][emoji16][emoji16] mzee alideal na kutoa unafuu kwa "wanyonge"... Nyie elite na working class ilikuwa ni zamu yenu kuonja joto la "jiwe"
Daah safi mkuu. Hizi informations za muhimu sana. Tukikaa na mdalali wanatuvunja moyo hkuna viwanja vya milioni dar.Vipo vingi sana mpaka laki 4 na Kuna umeme wa rea. Sehemu inaitwa Dondwe au Mamndi
Marehemu hasemwi vibaya ujue na waafrika tukifariki tunageuka mizimu. Shauri yako 😁😁😁Jiwe alikua mshamba[emoji23][emoji23] alikuja lipa kisasi kwa makosa ya wazazi wake