Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walisoma silabasi ya uingereza na mitihani ilitoka Kembriji, ilisahihishwa Kembriji na matokeo yalitokea Kembriji.
Ila yule msanii mpigangoma na mjuaji wa kila lugha ni zao la UPE.

Marehemu hasemwi [emoji16]
 

Bitter truth [emoji419]πŸͺ“
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] ptoooh mbaka. Nimewakumbuka wazee wa boom. Hivi bado serikali inawakaba? Maana kumepoa kweli sasa hv.

Ukabe watu wasioweza kukulipa 😁😁

Lakini kuondoa ile penalty naona imetoa unafuu
 
Ukabe watu wasioweza kukulipa [emoji16][emoji16]

Lakini kuondoa ile penalty naona imetoa unafuu
Huwa wanatia huruma jamani.
Ila jiwe aliwakosea sana hawa watoto wa wakulima na wafugaji. 15% kweli na makato yote hayo? Daah
 
Hapo tupo pamoja ila hilo toto chafu la kishua bila shaka kwa sasa lina maisha safi 😁😁. Maana ukitokea familia nzuri halafu kichwani akili ikiwepo, kutoboa ni must
 
Mkuu acha unafiki

Hivi English Medium such as IST,HOPAC au Braeburn au yeyote ile na Kayumba zipi zinakaririsha?

Ndugu punguza unafiki,haukusadii
English Medium ndio wanakaririsha mkuu hilo mbona Lipo wazi. Wao Lengo Lao mtoto afaulu ili watangaze jina waendelee kupiga hela zaidi
 
Huwa wanatia huruma jamani.
Ila jiwe aliwakosea sana hawa watoto wa wakulima na wafugaji. 15% kweli na makato yote hayo? Daah
😁😁😁 mzee alideal na kutoa unafuu kwa "wanyonge"... Nyie elite na working class ilikuwa ni zamu yenu kuonja joto la "jiwe"
 
Mkuu suala la kumfuatilia mwanao ni wajibu na jukumu lako sio mpaka mtoto awe English medium school.

Nikukumbe mitaala ya karne hii ni tofauti na ile tuliosoma sisi, hizo homeworks plus weekly test hata huku kayumba zipo.

Na ili mtoto awe na matokeo bora shuleni ni muhimu mzazi kumfuatilia mtoto, na kumfuatilia kwenyewe ndio kama huko kufanya kumsimamia homeworks, kwenda kuulizia maendeleo yake shuleni na kuwa na mawasiliano mazuri na mwalimu wake hasa mwalimu wa darasa na wataaluma.
πŸ™
 
Mie Kuna wengine somo la English lenyewe nilikuwa nawazidi. Pia sio guarantee saivi kugharimikia English Ila contents is the same. Mie nakomaa waipate kwa kayumba.
Ila Nina mpango wa kumuandikia kocha wa tennis ameniambia kuwa kila pindi akihudhuria Ni 15k per hour. Minimum inatakiwa ahudhurie thrice per week. Hii naweza nikalipa Kama mwanangu akatokea kupenda kuwa akina sharapova Maria ndio target yangu. Yaani shuleni anaingia twice or thrice per week inatosha. Hakuna guarantee outcome all we do is just beting kuwa future gonna be better but no 100% perse kuwa ukipitia hii njia Ni uhakika
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mzee alideal na kutoa unafuu kwa "wanyonge"... Nyie elite na working class ilikuwa ni zamu yenu kuonja joto la "jiwe"
Jiwe alikua mshamba[emoji23][emoji23] alikuja lipa kisasi kwa makosa ya wazazi wake
 
Laiti ungetambua elimu yetu ilivyochezewa ungepambana kuwapa elimu bora kuliko bora elimu uliyochagua kuwapa.

Nimekuwa interviewer mara kadhaa, aisee it's very very sad vijana wengi walivyo incompetent hata kujieleza. Inatia hasira sana namna elimu yetu inavyotufanya.

Ulimu ya public school kwa Kenya ni bora kuliko hata English midium school zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…