Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

Cha kumshauri atafute pesa.

Ukiwa maskini hata uwezo wa kufikiri unapungua.
Huyo unayemsapoti alipelekeshwa Ila saivi kwenye hapelekeshwi. Kuna mwingine anajipelekesha mwenyewe yaani anakuwa na self discipline na kuwa na hamu ya kujifunza kitu tokea moyoni.
How do you program your mind and code your neurons in your subconscious mind to works. The neurons that fire together wire together automatically and naturally.

Kuna mlinzi alienda kuomba kazi ya kulinda akaulizws kuwa unajua English akawajibu kwani hao wezi wanakuja kuiba kwa English.

Watu wanashindwa kutofautisha lugha and knowledge. They're two different things yaani quiet different things.
 
Hoja yako ya msingi hapa ni ipi?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watoto wa Kayumba asilimia kubwa ndio zao la Panya road, wacheza kamari maarufu, wapenda vigodoro ,mateja nk.
 
Huko private ndio wanabokoana sana..Yani sana tu..Yani sanaaa...lakini kama ni English medium awe anaenda na kurudi...maana ziko shule nyingi zina kamera kila sehemu...ila mtoto akikaa bweni..muandalie tu connection ya kina juma lokole
Embu zitaje hizo shule angalau tatu tu.
 
Top 10 st kayumba ni wa mwisho private school. Halafu mtoto anakuwa top 10 na D zote halafu unajisifia anawaburuza wenzie? Ni CCM au watu wenye mawazo ya ki-CCM tu wanaothubutu kusifia ujinga
😂😂😂😂😂😂
 
Anadhani wazazi wanaouza viwanja kusomesha watoto ni wajinga.

Tuangalie mfano hai kwa Shilole ,aliweka bondi hati ya nyumba kusomesha watoto hii yote hii kutambua umuhimu wa elimu Bora kwa mtoto.

Huko St Kayumba ni bora liende tu.
🙏
 
Sema pesa ilikata
 
Unamaanisha St Kayumba haifai kwa watoto wadogo ?
 
Haya umejieleza weee faida wewe umepata na ubinafsi wako kutosomesha watoto private sababu kila sentensi umejaza mimi mimi mimi faida nimepata mimi mimi mimi.Mimi nyingiiiiiii

Tunakuomba kaulize wanao katika shule za private na kayumba wao Kama wao wangependa wasome shule ipi? Ya private au kayumba. Kisha lete mrejesho hapa walichokujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…