Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

Kuna demu nakumbuka tulimaliza nae form four akapata division one ya 17 private school majina ya advance yalivyotoka akachaguliwa pcb akakataa kwenda akamwambia baba yake hajui hyo one kapataje maana yeye anapenda mambo ya music baadae alikuja kusema huwa wanapewa majibu ya mtihani hvyo pcb yeye haiwezi bora aende akasomee mambo ya music nikajua kweli private school watu wanaliwa hela.
 
Kweli mnafarijiana 😂😂😂😂😂
 
Chai
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaa. Hapo tu ndo tuliwabondea kayumba. Ila kayumba wana akili balaa. Basi tu yaani
Embu yaweke hapa hayo matokeo ya shule ya msingi ya Kayumba yoyote uthibitishe ulichokiandika hapa.
 
Una mawazo ya kis*Ng* sana.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wanapigwa sana mkuu. Halafu uhuni na ubabaishaji ni mwingi sana huko, mfano mwaka jana kuna kale kabinti kalitrend mitandaoni kanasema kalilazimishwa kaandike namba ambayo sio yake kwenye mitihani ya mwisho ikaja kugundulika kumbe uongozi wa shule ulitaka kamfanyie mitihani mwanafunzi mwenzake kilaza
 
Unakwepa kulipa 2M kwenye elimu lkn kwa aina ya vyoo vilivyopo Kayumba utalipa 4M kwenye matibabu ya UTI na fungus mpk wa tumboni

Acheni kutisha watu sisi wenyewe tumesoma kayumba na hatujapata hizo U.T.I.
 

mkuu umepandikizwa unyanyapaa mbaya sana dhidi ya shule za kayumba.
 
Kweli mkuu ni kwasababu tu sasa hivi utandawazi unasaidia ila zamani watu wengi wamedhulumiwa wezi ndio hawa unawaona ni waislamu lakini wana majina ya kikristo ni wakristo lakini wana majina ya kiislamu siwataji mkuu mwanasheria wangu yupo nje ya nchi mpaka arudi.
 
Sahihi
 
Kweli kabisa, mi mwenyewe yupo tz one wa mwisho kutangazwa form four feza wakamvuta kwa mbwembwe kamaliza six feza Ila wanampeleka US, siku si nyingi kuendelea kusoma,na Wala hakukulia mabaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…