HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mungu hapangi mtu kuwa masikiniNajijua kuwa ni maskini mkuu,yote ni mipango ya Mungu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hapangi mtu kuwa masikiniNajijua kuwa ni maskini mkuu,yote ni mipango ya Mungu...
Shule za ada ya 4mil kwa mwaka ni bora ajiongeze ampeleke FezaWewe ni maskini. Acha ku-fake maisha. Kama hata laki 6 hadi ukakope ina maana huna uwezo wa kulipa 4m kwa mwaka. Mwisho wa siku utaanza kuiba kazini kwenu uende jela.
Vingi sana kule Kisemvule kuna mdau ndio kazi yake kuuza viwanja. Kumbuka usidanganywe na wale wanaodai kuwa mbona mbali. Mbali kwenda wapi? . Nakumbuka wakati miaka ya 1990 mbezi nilikuita ni mbali lakini kwa sasa huwezi kupata kiwanja kule kama auna kuanzia milioni tano na kuendelea. Kwa hiyo kama unahitaji cha aina hiyo njoo DM nikupe noKumbe Dar es salaam kuna viwanja vya laki tisa?.
Tunakunywa bia kila siku tukijua viwanja ni mamilioni
Ndo hizo hizo za kata, shule ina wanafunzi 2900 wategemea maajabu gani?I agree aisee. Hapa tunaongelea hizi shule za kata siyo? Hizi sekondari eh? Hizo huwa hakuna kitu aisee. Inaniumaga. Na watoto wenyewe ni kuwatesa walimu wao tu. Ni wanakua wameharibikiwa zaidi kutokana na mazingira. Wengi bodaboda ni form 2 na form 4 leavers. Huwa naumia sana juu yao[emoji26] i wish ungekuwepo mbadala wa ajira badala ya hiyo. Watoto ni wadogo sana jamani. Wamefanya bora elimu na diyo ELIMU BORA
Miss pablo, hiyo anasa ni kumlimit huku chini ila advance acha akachanganyikane. Isitoshe starehe huwezi mzuia mtu, kuna watoto wa hali zetu hizi ila wakipata boom la chuo hata mkate bila blueband hawawezi kula na kila anasa wanaziparamia. Wengine wakipata kazi na vyeo wanageuka mastar na accent wanabadilisha kama wamezaliwa na kukulia Beverly Hills 😁😁😁Ada ya international ni ndefu aisee. Sema kwa mzazi mwenye pesa za kutosha anakua anaandaa mroto wake kuongoza miradi. Watoto wa huko huwa akili zao katika kuwekeza ziko level ingine kabisa ya kidunia.
As of me natamani waende shule ziwe medium. Isiwe jina kuubwaa. Just average schools zenye maadili mazuri na ajichanganye na maisha yote. Sitaki awe na maisha ya anasaaa sana ama ya dhikiii. Hapana. Awe middle hapo ila akili ikae katika kutafuta pesa
Ni o level bestie. Hata sijui. Miye nilikua nasikia miguno tu. Yeye form 1 dadake form 3. Itakua alikua anasagwa maana yule dadake mwanaume akasoma. Kafupi, kipande cha mwanaume. Mweusiii... yule dada hapana. Halaf ana matege ya kiume. Nadhan hormones za kiume zilimzidia. Walikua wanapendana mnoYeye alikuwa form ngapi? Yeye ndo alikuwa anasaga ama anasagwa?
Ndio ninachojua mimi watoto wa wakubwa hizo ndio shule zao. Mtoto wa Mwigulu anasoma FezaUkienda Feza Mikocheni, Kawe, Tegeta utakuta STL zakutosha
Mtoto wa Mwigulu yuko hapo Kawe
January Agakhan Primary
Dah aiseeNi o level bestie. Hata sijui. Miye nilikua nasikia miguno tu. Yeye form 1 dadake form 3. Itakua alikua anasagwa maana yule dadake mwanaume akasoma. Kafupi, kipande cha mwanaume. Mweusiii... yule dada hapana. Halaf ana matege ya kiume. Nadhan hormones za kiume zilimzidia. Walikua wanapendana mno
Ni kweli. Mimi ninamshukuru Mungu kusoma hizo shule za kitaifa kwasababu tulichanganyikana na watoto wa kishua wengi sana. Nakumbuka kuna toto moja la kishua lilikuwa chafu muda wote. Yaani hata maandazi unakuta kaweka kwenye mfuko wa suruali 😂. Imekuja NECTA kagonga 1.9 shule za serikali zenye shida ni hizi za kata. Ila Tanga tech, Kibaha, Ifunda, Bwiru, na zingine za kitaifa ziko sawa na private.Ndio maana kuna comment nilisema mbadala wa private ni special schools. Huko kwanza miundombinu ni mizuri na kila mtoto anatamani kusoma kwa ajili ya prestige. Sasa toa mtoto wako private mpeleke kimbinji shule ya sekondari
Daaah, hizo hapana. Halaf wana tabia mbovu vibaya mno na makundi. Serikali emdapo ingewekeza zaidi hapo aisee tungefanya vizuri sana. Basi tu hawajaweka bajeti hapo.Ndo hizo hizo za kata, shule ina wanafunzi 2900 wategemea maajabu gani?
Feza ni Tsh ngapi?Shule za ada ya 4mil kwa mwaka ni bora ajiongeze ampeleke Feza
Ukienda Salasala utawakuta pia wanasoma Feza InternationalNdio ninachojua mimi watoto wa wakubwa hizo ndio shule zao. Mtoto wa Mwigulu anasoma Feza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] ptoooh mbaka. Nimewakumbuka wazee wa boom. Hivi bado serikali inawakaba? Maana kumepoa kweli sasa hv.Miss pablo, hiyo anasa ni kumlimit huku chini ila advance acha akachanganyikane. Isitoshe starehe huwezi mzuia mtu, kuna watoto wa hali zetu hizi ila wakipata boom la chuo hata mkate bila blueband hawawezi kula na kila anasa wanaziparamia. Wengine wakipata kazi na vyeo wanageuka mastar na accent wanabadilisha kama wamezaliwa na kukulia Beverly Hills [emoji16][emoji16][emoji16]
Mpe msingi, mengine muombee tuu [emoji16]
NECTA ni chini ya Milioni 10Feza ni Tsh ngapi?
Ile Feza ya Salasala ukipita asubuhi na jioni magari binafsi yanayowapeleka na kuwarudisha watoto unapata jibuUkienda Salasala utawakuta pia wanasoma Feza International
Swala si uwekezaji, hapo swala ni serikali iache kulea ujinga, mwanafunzi apokelewe akiwa anajua kusoma na kuandika, Darasa la 4 mtu akifeli arudie.Daaah, hizo hapana. Halaf wana tabia mbovu vibaya mno na makundi. Serikali emdapo ingewekeza zaidi hapo aisee tungefanya vizuri sana. Basi tu hawajaweka bajeti hapo.
Hata Kawe ukienda utakuta magari yamepaki yanasubiria watotoIle Feza ya Salasala ukipita asubuhi na jioni magari binafsi yanayowapeleka na kuwarudisha watoto unapata jibu
Mdogo wangu alisoma shule ya kata akawa haendi shule anaishia kwenye makundi ya hovyo. Ule muhula wa mwisho form 4 ikabidi baba awe anaenda nae shule kila asubuhi.. yaani yule mzee ni kama na yeye alikuwa mwanafunzi kudamka asubuhi kuhakikisha jitu zima limeingia darasani. Bahati nzuri alipata div IV. Mama alimzawadia siku ya graduation kwa sababu tu kafanikiwa kufika hiyo siku na sio kwamba alikuwa yuko vizuri kitaaluma. Shule za kata hazina usimamizi. Watoto wanaishia mtoni kwenye bangiDaaah, hizo hapana. Halaf wana tabia mbovu vibaya mno na makundi. Serikali emdapo ingewekeza zaidi hapo aisee tungefanya vizuri sana. Basi tu hawajaweka bajeti hapo.
Yaan mpaka kesho najiuliza kwanini wamebadilisha huo utaratibu. Ina maana tuneandaa kizazi cha kijinga. Na ndo maana wameacha tangaza ufahulu wa shule kwasababu zao hazifanyi vyemaSwala si uwekezaji, hapo swala ni serikali iache kulea ujinga, mwanafunzi apokelewe akiwa anajua kusoma na kuandika, Darasa la 4 mtu akifeli arudie.
Darasa la 7 wachukue wanafunzi kwa Marks na sio Grade
Form 2 Marks ndo zimpitishe mtu
Form 4 kuanzia Division 4 akatafute pengine.
Chuo wabane
Ukishafanya hivyo utajikuta unapata wachache wazuri kuongoza wajinga wengi
[emoji24][emoji24][emoji24] jamani. Nimeumia kama mdogo wangu. Poleni jamani.Mdogo wangu alisoma shule ya kata akawa haendi shule anaishia kwenye makundi ya hovyo. Ule muhula wa mwisho form 4 ikabidi baba awe anaenda nae shule kila asubuhi.. yaani yule mzee ni kama na yeye alikuwa mwanafunzi kudamka asubuhi kuhakikisha jitu zima limeingia darasani. Bahati nzuri alipata div IV. Mama alimzawadia siku ya graduation kwa sababu tu kafanikiwa kufika hiyo siku na sio kwamba alikuwa yuko vizuri kitaaluma. Shule za kata hazina usimamizi. Watoto wanaishia mtoni kwenye bangi