Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Wala hainiumi,mie Ni kilaza mmoja mzuri,kukosea is part of human being none is perfect, unadhani labda eti najaribu kujitetea kwa kukosea. Ila lengo langu Ni kuwa Kama mtu Ana uwezo wa kujifunza kitu anajifunza haijalishi kuwa yupo. Kwanza lazima uwe proud na kukosea ama kufeli Mana aliyejaribu na akafeli sio sawa sawa na ambaye hajajaribu. Kwanza wanangu Wana encourage mno wawe proud kufanya mistakes later Wana analyse why they did mistakes. Katika maisha mistakes,kuanguka,kufeli,kufiliska, biashara fulani imebuma,yaani life or so called success is constant falling down and stand up ,fall down seven times wakes up eight times.Mwanangu najua inakuuma sana kukosea kuandika kiingereza ndo maana unatoa maelezo mengi ya kutaka kuonewa huruma. Mimi nisingehoji kama na wewe usingejimwambafy kwamba ulikuwa unajua kiingereza kuliko hata waliotoka medium. Siku nyingine acha sifa za kijinga.
I don't entertain perfectionism katika kizazi changu. Bali nawaambiwa wawe bold kufanya mistakes na kujaribu kila kitu yaani washinde Ile aibu ya kuwa mie nimekosea,ama nitaonekana mjinga. One Chinese proverb " the one who asks the quesTion is the stupid for one second but the one who never asks is the full for lifetime.
Yaani elewa mie Ni kilaza mmoja mzuri mkuu,hayo niliyoyandika Kama kuelimisha jamii kwanza sio Mimi Sasa kwa taarifa yako. Kwanza mie napenda wanaonionyesha my weakness all the time ndio marafiki zangu Mana wananifanya na grow,thrive, survive and prosper.
Mie kwanza nimeishia fomu Foo nikapata zero nikapata cheti nikashindwa kuchukua diploma.
Yaani mie Ni kilaza tu Basi,naomba uwe na amani