betting machine
Senior Member
- Aug 12, 2025
- 140
- 252
Member mko poa?
Kwa mtakao kumbuka wiki kadhaa nilileta lalamiko langu juu ya ukosefu wa nguvu za kiume
Wapo waliosikitika na mpaka kuna madem wakajitolea kunitibu wakaahidi nikipona naanza kutesti kwenye viunga (mbususu) joke 😃
Ipo hivi nimeenda hospitalini jana nikabainika nina testerone level ya 0.67
Je, wataalamu hii inaashiria nini?
Msaada wenu please 🙏