Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Dhambi kubwa mno!Unaamka hauna hela ya kula unasema umefunga...
Dhambi kubwa mno!Unaamka hauna hela ya kula unasema umefunga...
We ni Gen-Z???Member mko poa? Kwa mtakao kumbuka wiki kadhaa nilileta lalamiko langu juu ya ukosefu wa nguvu za kiume , wapo waliosikitika na mpaka kuna madem wakajitolea kunitibu wakaahidi nikipona naanza kutesti kwenye viunga (mbususu) joke 😃
. Ipo hivi nimeenda hospitalini jana nikabainika njna testerone level ya 0.67, je wataalamu hii inaashiria nini?
Msaada wenu please 🙏
Toka kwa Rafiki AI:Member mko poa?
Kwa mtakao kumbuka wiki kadhaa nilileta lalamiko langu juu ya ukosefu wa nguvu za kiume
Wapo waliosikitika na mpaka kuna madem wakajitolea kunitibu wakaahidi nikipona naanza kutesti kwenye viunga (mbususu) joke 😃
Ipo hivi nimeenda hospitalini jana nikabainika nina testerone level ya 0.67
Je, wataalamu hii inaashiria nini?
Msaada wenu please 🙏
Dokta hakukupa ufafanuzi?Member mko poa?
Kwa mtakao kumbuka wiki kadhaa nilileta lalamiko langu juu ya ukosefu wa nguvu za kiume
Wapo waliosikitika na mpaka kuna madem wakajitolea kunitibu wakaahidi nikipona naanza kutesti kwenye viunga (mbususu) joke 😃
Ipo hivi nimeenda hospitalini jana nikabainika nina testerone level ya 0.67
Je, wataalamu hii inaashiria nini?
Msaada wenu please 🙏
Ndio walinionyesha alisema average ni 12, ila mimi nilikua na 0.67 ,Hapo hospitali walikupima au walikuwa wanakuonesha grade yako ya hesabu?
Mantiki ni kwamba hiyo namba iko chini mno kimatibabu.
Akili anaziacha kwenye betting...na ndo chanzo cha kila kituIlitakiwa uende na mirembe kupimwa kiwango cha akili
PoaUmesahau kuwaambia wakupime na kiwango cha akili pia maana hauna nguvu za kiume Hadi kichwani.... oveeeeeer
Hata ukifika 10 utakuwa kwenye kiwango sahihi.Ndio walinionyesha alisema average ni 12, ila mimi nilikua na 0.67 ,
Hapana hili ni jina tuAkili anaziacha kwenye betting...na ndo chanzo cha kila kitu
Ndio ila doctor aliniambia nifanye mazoezi na balanced diet hakunipa tibaHata ukifika 10 utakuwa kwenye kiwango sahihi.
SASA SI UNGEMUULIZA DR.....Member mko poa?
Kwa mtakao kumbuka wiki kadhaa nilileta lalamiko langu juu ya ukosefu wa nguvu za kiume
Wapo waliosikitika na mpaka kuna madem wakajitolea kunitibu wakaahidi nikipona naanza kutesti kwenye viunga (mbususu) joke 😃
Ipo hivi nimeenda hospitalini jana nikabainika nina testerone level ya 0.67
Je, wataalamu hii inaashiria nini?
Msaada wenu please 🙏
Nimemuuliza na si vibaya nikapata ushauri na humuSASA SI UNGEMUULIZA DR.....
GeN Z mnakwama wapi....
Daah pole jamani...anza kula karanga na mihogo mibichi..usisahau matunda na maji mengiHapana hili ni jina tu
Nafanya vyote hivyo ila sioni afdhali hadi dawa za kisuni nimetumia hadi za kienyeji nimetumiaDaah pole jamani...anza kula karanga na mihogo mibichi..usisahau matunda na maji mengi
Haisimami hata kidogo?Ndio walinionyesha alisema average ni 12, ila mimi nilikua na 0.67 ,