Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
So nguvu hazijarudi au?Nafanya vyote hivyo ila sioni afdhali hadi dawa za kisuni nimetumia hadi za kienyeji nimetumia
Nadhani tatizo limeanzia kichwani..
Just relaaax tuliza kichwa kila kitu kitaenda fresh upe utulivu ubongo uchakate mambo yake kwa utulivu...
Kila kitu kinaanzia kwny ubongo...
###Just relaaax###kabla hujaanza tendo relax huku ukifanya hivyo vyote ulivyoshauriwa...taratibu mambo yatajipa