Mrejesho juu ya swala langu la ukosefu wa nguvu za kiume

Mrejesho juu ya swala langu la ukosefu wa nguvu za kiume

Member mko poa?

Kwa mtakao kumbuka wiki kadhaa nilileta lalamiko langu juu ya ukosefu wa nguvu za kiume

Wapo waliosikitika na mpaka kuna madem wakajitolea kunitibu wakaahidi nikipona naanza kutesti kwenye viunga (mbususu) joke 😃

Ipo hivi nimeenda hospitalini jana nikabainika nina testerone level ya 0.67

Je, wataalamu hii inaashiria nini?
Msaada wenu please 🙏
Unakaribia kua shoga hio ndio maana yake vinasababvya kike vitapanda sana mwezi September
Asante
 
Member mko poa?

Kwa mtakao kumbuka wiki kadhaa nilileta lalamiko langu juu ya ukosefu wa nguvu za kiume

Wapo waliosikitika na mpaka kuna madem wakajitolea kunitibu wakaahidi nikipona naanza kutesti kwenye viunga (mbususu) joke 😃

Ipo hivi nimeenda hospitalini jana nikabainika nina testerone level ya 0.67

Je, wataalamu hii inaashiria nini?
Msaada wenu please 🙏
Kikawaidaa zinatakiwa ziwe 9
Unatakiwa upate dawa kuzipandisha
Ikishindikan upate mtoto wa ku adapt
 
Mpaka hapa inaonesha muongo yaani uende hospital upewe majibu ushindwe kuuliza uje utuulize sisi wa kiberege.!
 
Zipo dawa hela huna.
Testerone unaweza tengeneza mwenyewe bure tu.
Tangawizi, turmeric, ndimu mixer chuja weka kwenye freezer
 
Back
Top Bottom