Mrejesho juu ya swala langu la ukosefu wa nguvu za kiume

Nafanya vyote hivyo ila sioni afdhali hadi dawa za kisuni nimetumia hadi za kienyeji nimetumia
So nguvu hazijarudi au?
Nadhani tatizo limeanzia kichwani..
Just relaaax tuliza kichwa kila kitu kitaenda fresh upe utulivu ubongo uchakate mambo yake kwa utulivu...
Kila kitu kinaanzia kwny ubongo...
###Just relaaax###kabla hujaanza tendo relax huku ukifanya hivyo vyote ulivyoshauriwa...taratibu mambo yatajipa
 
Huu sio mrejesho mkuu, hapa tulitegemea aidha umepona au jambo limeshindikana mpaka wizara ya afya labda utamaduni uingie kati..umekuja na maswali tena?
 
Mkongo ahuusiani na kusimamisha, wenyewe unafanya kuweka ganzi kwenye kichwa cha **** kwahyo unakuwa hisia zero na kumwaga kunachelewa
Kwahiyo kama mhogo hausimami hata ukipaka mkongo haisaidii kitu?
 
0.67 kwa SI UNIT ipi mku?
Ng/dl au ng/ml?
 
Kweli nimeamini huu uwanja wa majadiliano unaaminika hata kuliko taaluma za mabingwa kwenye ofisi zao!

Anyways... Testerone ni kama mafua tu kwenye hizo mambo zetu, sasa kwakuwa ukinywa chai ya tangawizi inaishia kutibu mafua kama mafua, cha msingi chemsha maji yawe na moto kiasi kisha changanya na tangawizi uanze kumkanda mzee wetu hadi hapo juu kwenye kibofu, mkande taratibu na ukiwa unafocus kweli kweli usije badili zoezi mkuu maana hako kajoto joto kanaweza kukuchanganya!

Punguza mawazo, hayo ni mabaya kuliko hiyo testerone level ya 0.67 jombaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…