Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Yani wewe ndo umeongea point kuliko woote
Anyway mimi pia nna jambo langu nakupm unishauri vzr.
 
Ni sawa usemavyo sasa mbona wao hawajiondoi kwenye ndoa ?

Kugongewa ni aibu mbaya zaidi wagongaji wanakomoa maana hawana dhamana nae wanawazibua mitaro tu dah
 
Inategemea NTU na NTU Mkuu leo ingekuwa siku ya yeye kukaa nyumbani kutafuta suluhisho la ndoa yao kama inawezekana. Kazini angeweza kupiga simu anaumwa.
Unadhani hata kama hayuko kazini anaweza kwenda kwa LIVINGSTONE tena?
Huko aliko hata yeye anajutia saana tena ukute anafikiria namna ya kurudi kwake anaogopa
 
Mkuu kwanza pole. Kwa ufupi sana mkuu.
Kwanza kapime afya yako pili kama una pesa basi kapime na DNA na watoto wako, hii inaweza kukupa picha ya maisha yako baada ya tukio hili baya kbs ktk ndoa.
Kwa muda huu ambao upo dilemma focus ktk namna utawalea watoto wako bila mama yao hapo baadae, kumbuka huyu mwanamke ni wakumuepuka kbs ktk maisha yako.
Usithubutu kutumia vibaya busara yako na kumsamehe, huyu kakubuhu ndiomaana kaamka na kaenda kazini, hajali hajaumizwa wala hajahofia kwa ulichokigundua.
Wanaume wengi waoaji na wenye malengo makubwa kimaisha huwa tunavurugwa sana na wanawake ambao huwapatia bahati ya kuolewa.
Usimpige mkuu wala usimfanyie chochote kibaya, hili linatakiwa lipite likuache salama ili uweze kuanza upya maisha yako na kulea wanao kwa amani na upendo.
Kwa wanaume wengine wanaofanya kazi za safari safari mkiona mwanamke anakuuliza sana au anatumia watoto kukuuliza unarudi lini chukueni tahadhari.
 
Wanawake tunajali hisia zaidi

Unaweza kuwa na fedha ila kama hukujali hisia zake usishangae mvuta bangi anayecare akagonga.
Hapo ndo huwa nawashangaaga mpaka basi

Halafu mkiachwa sasa...unakosa bara na pwani...lakini bado tu hamjifunzi.

Ila akili zenu mnazijua wenyewe bana
 
Wewe ni baharia mwenzangu kwanza hongera kwa kuchakata mbunyenye za nje, lakini pia kaa ufahamu pia mke wako huwa anafumuliwa marinda pia huwa analamba konga. Ushauri wangu huyo mke wako mpige chini hakuna namna.
 

Tulia tu mkuu msamehe tu hii changamoto hakuna sehem ambayo hakuna mzee utamaliza mbususu zotee na mambo ni Haya Haya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…