Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Mwanzo wa binadam.Tangu lini mmeanza kuumia?
Mfano simba hata liwe na majike yake kumi dume lingine liki salandia mmoja tu litapigana kufa.
Tuvumilieni jamani msitulipize mtatuua kabla hamjui vile tunaumia.