Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Tangu lini mmeanza kuumia?
Mwanzo wa binadam.
Mfano simba hata liwe na majike yake kumi dume lingine liki salandia mmoja tu litapigana kufa.

Tuvumilieni jamani msitulipize mtatuua kabla hamjui vile tunaumia.
 
Msamehe tu. Kaa naye mueleze pasipo hasira tena mwambie umemusamehe, hata hivyo na wewe ni mzinzi kama yeye, mwambie sisi ni wajinga tutathiri watoto tuache
Utakuwa umempata. Amini hili
 
Pole sana ilishanitokea hii nilitafuta ushahidi akakubali wakati huo yuko kwao kama miezi mitatu nikaona watoto wangu wanateseka nikamrudisha nimejifunza wanawake wengi wanafanya hivo sio kweli kwamba nimalaya ila wakati mwingine nimazoea nawatu anaokuwa nao karibu lakini pia niloona sio vizuri nimhukum kiasi hicho wakati hata mm naweza kufanya hayo ushauri wangu kwanza nakupongeza kwauvumilivu swala lakumuacha au kutokumuacha liko kwenye maamzi yako nakusihi vumilia lipite tu watoto bado wadogo sana mkeo sio wakwanza kuchepuka hata huyu wangu sijui kama anaendelea au la nashukuru watoto wanafuraha japo mm najua kinachoendelea moyoni mwangu
 
Mwanzo wa binadam.
Mfano simba hata liwe na majike yake kumi dume lingine liki salandia mmoja tu litapigana kufa.

Tuvumilieni jamani msitulipize mtatuua kabla hamjui vile tunaumia.
Ila sie tukiumia kwaajili yenu ni sawa?
Zama zimebadilika, binadamu wamebadilika.
Kujiaminisha kuwa mwanamke wa miaka ya 50 ni sawa na wa miaka hii ni kupoteza muda. Kila kitu kinabadilika Kaka yangu.
Mke amvumilie mume mchepukaji, alie na kusaga meno bado yupo tu kwenye ndoa ni wachache sana wanahesabika.
Mtavuna mlichokipanda na wake zenu hawatajali.
Mtaishia kuwaita Malaya na majina mengi mabaya lkn haitaondoa ukweli kwamba ndoa nyingi zitateketea na nyie mnaumia pia.
 
Kama una mchepuko siwezi kukupa pole! Kumbuka upandacho ndicho unachovuna.Kama una mchepuko au uliwahi kuwa na mchepuko wakati mko kwenye ndoa na mkeo na pengine alijua,basi ndiyo sababu naye anatoka na mchepuko wake.
Nakushauri achana na mchepuko wako endeleza maisha na huyo mkeo kwa faida ya watoto wasio na hatia.
 
Sawa ndo vijana weshaghaili kuoa wanazalisha tu wakiwa kwao.

kazi iendelee
 
Aiseee wanaume wabinafsi sana. wewe una mchepuko means hakutoshelezi so na yeye humtoshelezi. Kulia lia JF hakukusaidiii
 
Tatizo la mwanamke umelisabisha wewe. Mkuu wewe unatabia ya kuchepuka yeye amegundua na amekufanyia hivyo hivyo. Yale usiyopendwa kufanyiwa na wewe usifanye. Dawa yake nyie wote acheni sameheaneni anzeni kufwata imani nendeni ibadani Mungu atawasaidia.
 
Una mtihan mkubwa sana kaka..dah..mi sijui ningemfanyaje huyo mwanamke walah..sijui yan
 
Ishawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
Tunaomba uzi wa hii kitu mkuu.tafadhali....je alikua demu ama mke kabisa...*****..dah
 
Ishawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
Kuna siku mzigo uliliwa wewe hukuwepo hiyo ilikuwa bahati mbaya tu alifanikiwa kuwakurupua
 
Mimi kwangu watoto Ni muhimu kuliko mke kutoka nje ya ndoa.
Naongea hivi kwa sababu nimekualia nje ya malezi ya baba na mama.
Halafu pia Nina watoto wawili Sasa, vile wanavyoishi kwa furaha kwa uwepo wa baba na mama, kuchepuka sio hoja.
Mke au mme ni rahisi Sana kuchepuka kwa dunia ya Sasa
Mkuu uko kama mm nataman Sana watoto wangu niwalee mpaka pale umauti utakaponifika

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na pesa zako ndio kapandia uber kwenda kuliwa
 
Hahaahha [emoji1787][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…