Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Kumbe alikuwa Ex siyo mume
 
mnahalalisha dhambi tu, mbona viapo havisemi hayo? mbona dini inakataa uzinzi. Sema dada kafeli kutokiri tu
Dini kwa kiasi kikubwa hazina uhalisia.

Ila uhusiano wa watu wawili ndio unamake sense, na incase mmeshindwana pia kila mmoja aende na njia yake
 

Wanaume oyeee it will come to a point mtazoea tu itakuwa ukimwaga mboga mwenzako anamwaga ugali....tunaelekea huko hakuna wa peke yako kama wewe mwenyewe ni wa wengi
 
Kuachana na mke kisa,kachepuka sio njia sahihi ilihali mna watoto wadogo,inauma ila piga moyo konde angalia maisha ya watoto wako,pili Kama na ww unavua chup za wanawake wengne,kuwa na moyo mpana tu ili maisha yaende,maana yeye kafanya kulipiza,
Heheheh kwa hio makubaliano yalikuwa mke kulipiza visasi?
 
ila wanaume bana mkifanya nyinyi fresh sie muacheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, kweli mtenda akitendewa bana. We si ulikua unaenda kulala kabsa bora yeye amerud. wote badilikeni!
Kaka mm ndio namhudumia sawa,

Lakini Kama na yeye anajiweza Basi hapo kila mtu ashike ustaarabu wake
 
Mkuki kwa nguruwe lakini kwa binaadamu!!
Umepata kinachoendana na ww matunda ya uzinzi wako so inabidi ukubaliane na uhalisia tu.We na mkeo wote wazinzi,mnaendana vyema.Unataka mwanamke mtakatifu wakati wewe mchafu?Hili ni somo zuri sana.Sameheaneni maisha yaendelee mulee watoto.
 
Kuna watu wabinafsi sana...

Hapo juu umekiri kabisa kuwa nawe wachepuka lakini mkeo kuchepuka imekuwa nongwa...

Huenda hata sababu ya mkeo kuchepuka ni baada ya kujua nawe una mipango ya kando, sasa ni kama yamemshinda kaamua kama mbwai na iwe mbwai
 
Hahahahahahahahah we jamaa ni msengee nimecheka kimaku mzeeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yani kumma anahudumiwa kama anajua bei ya kodi vile na gas yako anapikiwa kabisaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na mayai ulionunua anakaangiwa kmmmke
 

Word!

Mekumichiiiii! long time no see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…