Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mungu hawezi kukuokoa kwenye maamuzi ya kijinga! We ushaambiwa mke haachwi isipokuwa kwa uzinifu we unadhani Mungu ni mwehu kusema hivyo?Tatizo la mwanamke umelisabisha wewe. Mkuu wewe unatabia ya kuchepuka yeye amegundua na amekufanyia hivyo hivyo. Yale usiyopendwa kufanyiwa na wewe usifanye. Dawa yake nyie wote acheni sameheaneni anzeni kufwata imani nendeni ibadani Mungu atawasaidia.
Hata kama unampenda kashakuwa disqualified, nullified! Heshimu principles za kiume na kiuongozi!