Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Narudia tena sina mke. Chunga mkeo wahuni wasimfanye kama mke wao. Usiukimbie ukweli wa kuhusu hizi ndoa za siku hizi.
Kaka Kama mkeo anapigwa we hujui maana yake ni kwamba hapigwi. Ona Kama mtoa mada karudi home kwa kustukiza anakutana na balaa... Hao viumbe ndio maana Mungu aliwaita Hawa. ( Tamka Hawa????!!!!!)

Ishini nao kwa akili
 
Hivi mnaotaka mke asamehewe mbona hata mume ni mkosaji?kaamua ajitenge nae ili wawe huru.

Mna lengo gani mnaotaka abaki kwenye hii ndoa anaudhaifu gani mpaka asamehewe?

Hii ni adhabu kubwa sana kwa mume kuacha mke haliyakua hajapanga inauma sana.
 
Narudia tena sina mke. Chunga mkeo wahuni wasimfanye kama mke wao. Usiukimbie ukweli wa kuhusu hizi ndoa za siku hizi.
Sasa kama ukweli unaujua si ndio unakuweka huru Sasa?.

Acheni kuwachunguza wake zenu
 
Muache bhanaa akapate utam kwa uhuru.
Haamini vipi na humtoshi hem muulize.
Hafu tuone kati yako na yeye nani atapata wa kumpeti peti
Ni wewe nn ndo mchepuko wake maana toka mwanzo nikisoma reply zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zinaniacha na maswali
 
Una akili ya kushikiwa wewe! Nani alikudanganya mie nina mke? Angalia wahuni kitaa hapo wanasimamia kucha. Unaona tend ya ndoa za siku hizi lakini bado hutaki kuamini hali halisi. Wacha tu wahuni wafaidi na huwa hawafanyi ajizi.
Sasa kama ukweli unaujua si ndio unakuweka huru Sasa?.

Acheni kuwachunguza wake zenu
 
Una akili ya kushikiwa wewe! Nani alikudanganya mie nina mke? Angalia wahuni kitaa hapo wanasimamia kucha. Unaona tend ya ndoa za siku hizi lakini bado hutaki kuamini hali halisi. Wacha tu wahuni wafaidi na huwa hawafanyi ajizi.
Okay
 
Huu ushauri wa hovyo tyuuh, mbna huyo mwanaume anachepuka huko nje sana tyuuh. Au hamlioni hili? Unafiki tyuuh.
Ww cocastic au ndio mtuhumiwa nini mbona mkali hivyo😜!?
 
Huu ushauri wa hovyo tyuuh, mbna huyo mwanaume anachepuka huko nje sana tyuuh. Au hamlioni hili? Unafiki tyuuh.
Ww cocastic au ndio mtuhumiwa nini mbona mkali hivyo😜!?
 
Jaman mpare wa watu alitaka kupigwa tukio heavy, ila hongera yenu mko smart, sema mna kasumba ya hasira na wivu lol.
 
Jaman kwahiyo mwanamke, akilishwa, akitombwa, akiishi kwenye kasri, akiwa na ndinga kali, bas mwanaume ameshamaliza majukumu kwa mkewe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa inabidi ujiulize why fundi kushona au boda boda? Unakwama wapi yaan, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jaman mpare wa watu alitaka kupigwa tukio heavy, ila hongera yenu mko smart, sema mna kasumba ya hasira na wivu lol.
Kweli wivu ninao wa kutosha aisee! Uzuri ni kuwa hatunaga tabia ya ukicheche tukiwa in serious relationships! Hasira ni asili kwetu wapare mie hasira zangu ni mbaya sana
 
Fundi kushona si wanawala sababu mnajirahisisha kwao, amini kwamba usipojirahisisha kwa mtu hawezi kukula kizembe!
 
Sio mtazamo, au huna kuku? Mbuz? Basi nenda hata Serengeti utakuta hayo maisha, that is nature mama

Unaona haikufai, busara n kutundika daluga tu
Kwahiyo unaona binadamu mwenye akili na utashi ni sawa na wanyama wenye akili tyuh pasipo utashi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aseeeh poleeh san.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…