Hahahaha tena wakijua ni mume wanaongeza na majonjo na umaridadi na mapishi ya hali ya juu. Si umeona humu jamaa wanataka kumuacha mke ili waoe HG? Mke kajusahau kama ni mke yeye na social media, tamthilia na marafiki zake. Mume akimgusa nimechoka, naumwa kichwa blah blah. Sisemi wanawake wote walio kwenye ndoa wanafanya hivyo la hasha lakini inakuwaje mtu uliyempenda saa zote kutaka kuwa naye wakati wa kudate akiomba papuchi saa yoyote hanyimwi lakini baada ya ndoa tu unabadilika. Makosa ndani ya ndoa yako pande zote mbili Mkuu.