Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Huo uhalali wa kuchepuka we unaupata wapi?

Hivi wanaume mnajikutaga kitu gani?

Yaan we kulala na wanawake tofauti ni haki yako, ila yeye mchepuko mmoja ( Livingstone) ndo umepaniki hivi?[emoji57][emoji57]

Flabagasting [emoji849][emoji849]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kupiga hata hakusaidii. Muhimu ni kuzungumza. HAMNA KITU NACHUKIA KAMA MWANAUME ANAEMPIGA MKEWE. HATA KOSA LIWE LIPI. JAMAA KAMPIGA NGUMI YA USO MKEWE. SASA ANGEMPOFUA! YEYE NAE NI MTOTO WA MTU.
Bila kupiga siwezi women pasua kichwa, satanically women are not friends they are practically competitors to their husbands.
 
Dada...
Kutombewa sikia tu...
Usiombe hiki kitu kimkute ndugu yako yoyote wa kiume...
Kika mwanafamilia roho itamuuma..

Sijui kwa nini wanaume tuliumbiwa wivu huu..?[emoji119][emoji119][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji119][emoji119]

Na ukitombewa, omba usijue..
 
Nami nimetoa ushauri kama huu Mkuu, lakini bila shaka jumbe anazodai kuzikuta kwenye simu na hawezi kuziweka hapa zimemuumiza zaidi kiasi cha moyo kugoma kabisa kuendelea na ndoa yake. Mbaya zaidi anasikitika ndoa yake kuvunjika na watoto wake wa 4 years na 2 years kutokuwa na wazazi walio ndani ya ndoa.
 
Mambo ya ndoa magumu sana.. natamani ningeishi kipindi cha mababu zetu, wake zao walikuwa wanawapenda na kuwaheshimu. Sio sasaiv tabu tupu!
 
So
Duuh kumbe siyo jambo la ajabu, kazi tunayo wanaume!!
Kwa mtazamo huu sijui tutegemee nini kutoka kwa watoto wetu wa kike, maana ninyi ndo role model wao
Ila jua kule West Africa bado wanapigwa mawe hadi kufa, kama ilivokuwa wakati wa Musa
Rusha mawe iwapo mikono yako I safi kwenye hili.
Kuhusu watoto wa kike.
Watoto wetu wa kike tunawaandaa kukutana na watoto wenu wa kiume waliojifubza kutoka kwenu baba zao.

So usihofu ,wako well covered
 
Kwani mnakuwa mnajisikiaje, mbona si tukijua tunaona normal tu ni umalaya wenu?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

...kwa hayo masikitiko ndio maana nikamshauri ni bora asamehe na ajifunze kuishi nae kwa akili.

Angekuwa “msafi,” ningesema ana haki ya kuamua otherwise. Lakini, mwenyewe amekiri siku hiyo alikuwa na mpango na mchepuko wake ambao hata mkewe anamjua.

Msamaha wa kweli toka pande zote ndio utawaweka wote huru ili waendelee na maisha yao ya ndoa.
 
Mkuu siku hizi hata akili zenyewe zinadunda , sijuwi tuishi nao kwa namna gani yaan
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…