Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Pole sana.
Kuna kitu kinanipa was was lately maana najikuta siku hiz nampenda sana yf mpaka najisahAu kias kwamba na yeye kaanza kuona.Wakuu hii sio dalili ya umauti kweli unaninyemelea?Maana for 10 year tuko pamoja sijawah kuwa na moyo lege lege kias hiki!!.au kashAnitengeza?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha!anakufinyia kwa ndani
 
Sina hakika sababu nilitrack mawasiliano ya manzi na chats na calls zao na jamaa alikuwa anaashiria kuwa ndio siku ya kwanza anataka kuja kumpiga pumzi ila akawa kama anamuulizia sana juu ya usalama wake kwamba ni freshi nikija hapo hapo geto! By that time nilikuwa nakaa self moja tu!

Demu akanipanga mimi toka jana yake kuwa dadaake kesho atakuja kwa ajili ya graduation ya mtoto wa kaka yao! So kaomba alale pale kwetu alale na ndugu yake kwa kuwa mie sikuwa na hiana nikasema acha tu nimpishe sababu kwao walikuwa hawajui kuwa anakaa kwangu walijua kapanga kivyake.

Basi mie kwa kuwa na maseke kile kitu sikukielewa nikaamua nifanye ujasusi kumbe kweli ilikuwa ule usiku napigwa tukio la hatari kama ningejiachia huko niliko!

Nilichofanya nikampigia simu jioni kwasababu picha linaanza hakunipa feedback juu ya huyo mtu kafika au la! Toka asubuhi mpaka Saa 3 usiku mtu atoke Dar hajafika tu na gari ya mwisho kabla ya 2 inakuwaga ishatia timu!

Nikaanza kuhisi usanii ule! Kufungua database yangu kweli nakuta ni mwamba wanapangana kuwa aje amkaze maana mie sipo na alimdanganya yupo single nadhani! Nilichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana mahali nikawa nashuhudia kila kitu kummmk. Baada ya kuingia ndani tu sikufanya ajizi nikajongea mlangoni na kugonga kibabe! Alipofungua mlango hakuamini anachokiona!

Chumba ilinunuliwa spray sikuhio chumba kinanukia balaa na maji jamaa anachemshiwa aoge huku kashaagiziwa chipsi kuku! Kummmy wanawake hawa waoneni tu..ni kama akili ilipiga short nilifukuza yule jamaa nikabana mlango. Ilikuwa nafanya umafia wa ajabu siku ile maana nilishavua mkanda! Muuza chips alipoleta chips ndio kutoka azipokee akapata na upenyo hapo hapo wa kutoroka kifo!
Km movie vile daaah!pole broh!!
 
Wanaume bwana!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaan wananichekeshaga sana wakicheat wao aaaaah sawa ila mwanamke akiteleza anakua hafai kbs !!!wako soooo selfish kwakwel
 
Duh Mkuu pole sana hasa kwa kumuwahi jamaa kabla hajala mzigo, nje ya Mada unaendelea naye kama wife?
je km uliwawahi ni kwamba hawaendelei au jamaa kabla hajawahi onja?
ni experience tu maana mm yamenikuta kwa mchepuko nilimpangia na kumtembelea asubuhi hakuwepo hadi saa sita mchana simu alizima siku 3 lkn siku hiyo saa 6 aliwasha
Hapana nilishamtosa na sijui kama wapo pamoja au waliwahi kusex au la
 
Hapana nilishamtosa na sijui kama wapo pamoja au waliwahi kusex au la
ok majibu yako nimeyakuta post za nyuma, kuwa alitoroka baada ya muuza chips kugonga
hivi hawa wanawake ni kwamba hawaridhiki au alitaka kuonja taste nyingine akidhani ni match la kibabe?
kuna ka kitu kana wawasha siwalaumu hata sisi wanaume tupo hivyo lkn bora ulimuacha
 
Yaaan wananichekeshaga sana wakicheat wao aaaaah sawa ila mwanamke akiteleza anakua hafai kbs !!!wako soooo selfish kwakwel
Yani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.

Kama kwamba huyu mke kafanya jambo la ajabuuuuu.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Laiti wangejua wao na huyu hawachekani!
🤣
 
ok majibu yako nimeyakuta post za nyuma, kuwa alitoroka baada ya muuza chips kugonga
hivi hawa wanawake ni kwamba hawaridhiki au alitaka kuonja taste nyingine akidhani ni match la kibabe?
kuna ka kitu kana wawasha siwalaumu hata sisi wanaume tupo hivyo lkn bora ulimuacha
Yah huwa siwez deal na stress
 
Nawaza sana ntawambia nini ndugu zangu,au ndugu zake kwa jinsi tulivyo pendana ni aibu kubwa sana kwangu kusema namwacha kwajili ya ametoka inje ya ndoa,lakin ntafanyaje?itabid iwe hivo nafsi yangu na moyo wangu unashindwa kuvumilia nikikumbuka msg zao nikiziweka hum mtashangaa kwann mpaka saiz yupo ndani kwangu
Cha ajabu hawakuonei huruma kwa mtihani mzito ambao hujautarajia pole sana ndo mapito hayo.
 
Yani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.

Kama kwamba huyu mke kafanya jambo la ajabuuuuu.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Laiti wangejua wao na huyu hawachekani!
🤣
Hata mwanaume akifumwa hali ni hii hii tuna angalia nani aliekutwa na kidhibiti
 
Nawaza sana ntawambia nini ndugu zangu,au ndugu zake kwa jinsi tulivyo pendana ni aibu kubwa sana kwangu kusema namwacha kwajili ya ametoka inje ya ndoa,lakin ntafanyaje?itabid iwe hivo nafsi yangu na moyo wangu unashindwa kuvumilia nikikumbuka msg zao nikiziweka hum mtashangaa kwann mpaka saiz yupo ndani kwangu
Jipe mda kidogo
 
duh...kama kweli blaza pole.....ila hukupaswa kumpiga hata kidogo.....mkeo ni KAHABA, na analiwa sana.....ni wewe hukuwa makini na miendendo yake.....MWANAMKE YEYOTE AKICHEPUKA....ujue hakuhitaji ASILANI...sawa mna watoto......je ni wako?..sawa ni wako....uendelee kuishi nae huku anaendelea na chepuko lake.......sikushauri lolote......hakikisha WATOTO wako wapo salama daima.....zingatia UKIMWI UPO......na wanao wangali wanakuhitaji.......wewe ni mwanaume......fanya linalokupendeza........duh kuliwa mkeo inauma wandugu....KITOBO CHAO KIMECHOKOLEWA NA HUNIIIII 😎 😎 😎😂
 
Tulia kijana wangu kaa nae chini muulize sababu ya yeye kudenemka ni nini hasa? Huenda akatoa sababu ambazo wewe ndio chanzo.
Hivi ikiwa kweli utamsamehe mtu wa kisasi na hajawahi kukuweka chini hata mara moja kakimbilia kulipiza tu.
 
duh...kama kweli blaza pole.....ila hukupaswa kumpiga hata kidogo.....mkeo ni KAHABA, na analiwa sana.....ni wewe hukuwa makini na miendendo yake.....MWANAMKE YEYOTE AKICHEPUKA....ujue hakuhitaji ASILANI...sawa mna watoto......je ni wako?..sawa ni wako....uendelee kuishi nae huku anaendelea na chepuko lake.......sikushauri lolote......hakikisha WATOTO wako wapo salama daima.....zingatia UKIMWI UPO......na wanao wangali wanakuhitaji.......wewe ni mwanaume......fanya linalokupendeza........duh kuliwa mkeo inauma wandugu....KITOBO CHAO KIMECHOKOLEWA NA HUNIIIII 😎 😎 😎[emoji23]
Yeye mwenyewe ana michepuko saangapi atakuwa makini na mkewe? Muda wakuwa na mke nyumbani lakini mtu anahangaika na vimada tu
 
Kuoa au kuamuwa kuishi na mwanamke kwa namna yoyote ni jambo moja na kuvumilia au kutovumilia kuendelea kuishi nae ni jambo jingine.

Vitu vingi unavyoviona ni matokeo ya vitu vingine, mfano: Watoto wa mitaani, umaskini, watu wazima wasio jiweza na hawana kuwahudumia, Migogoro ugonvi na hata uwadui wa familia na familia, haya yote ni sehemu ya matokeo ya wanandoa kuachana.

Simaanishi ukimuacha mkeo haya yatakukuta la, ila nasema kwa sababu hakuna mtu anaweza kuguarantee hatima ya maisha yake mwenyewe au hatima ya maisha ya watu wake, unaweza kulea watoto wako ukiwa nao au wakiwa na mama yao ila mwisho lazima kutatokea damage aidha kati yako na wanao au kati ya watoto na mama yao.

"Ukivumilia huo ujinga utaonekana huna pakwenda na ukiamua kwenda utaonekana umeshindwa kuvumilia.
Hii ndio mitazamo ya wadau ila kilicho muhimu ni wewe kuamua lileambalo unaweza kulimudu na litakupa amani ya nafsi kwa maslahi ya watoto wako.

Mkeo alipaswa kukiri kosa ili akurahisishie kufanya maamuzi yaliyo sahihi, na kukutajia watu ambao wewe unatoka nao bado haihalalishi kosa lake.

Kwanini wanaume tunavurugika sana mke anapo saliti! Iko hivi:
Katika mizani ya kisheria mume akizini anamkosea Mungu, ila mke akizini Kwanza anamkosea Mungu pili kamdhulumu mumewe kwa kugawa haki ya mume kwa asiyestahili, ndio maana mume anayohaki ya kudai fidia dhidi ya mgoni wake.

Mkeo akikiri kosa na akaomba msamaha nashauri umsamehe na maisha yaendelee kwa maslahi ya familia.

Kwa uzoefu wangu mdogo mke anasababu mbili tu zinazomfanya achepuke, moja inazuilika na yapili haizuiliki, sababu inayozuilika huwa inaambana na mambo haya: pesa, mitoko, good sex, Hb au mwanaume anaemvutia. Sababu isiyo zuilika ni kupenda shaft yaani wapo wanawake wanapenda shaft bila kujali chochote, kama mkeo anachepuka Kwa sababu hii acha kupoteza muda piga chini.

Acha ubinafsi kama unao, kuwa karibu na mkeo wanawake wanapenda care an attention, unaweza kuwa sababu ya mkeo kuchepuka hasa kwa wanawake vilaza, mke ni yule mwenye kumtunza mumewe na akamhifadhia amana yake.
 
kabunda88 jipe moyo jamaa yetu maana hali uliyofikia wengi hatuwezi maana inaitwa Point of No Return
sasa je ule mchepuko wako uliokuwa ukikusubiri tangu jana yake umeamua vipi ukienda itasimama kweli
je ukimuweka yeye awalee watoto ataweza timiza majukumu ya watoto na wewe ukaridhika?
kumrudisha mama aliyekandamizwa na wavuta bangi ni ngumu lkn huwezi jua na mchepuko anagawaje
sasa jua wanawake ndio hivyo km wanaume tu rudi Kijijini kachukue mpya
 
Back
Top Bottom