Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Looh mke wa mtu ht km huridhiki komaa tuu...HUDUMA za mume haziishii kutunza familia na kujaza full tank.....huyo kijana ndio anakamilisha hiyo HUDUMA nyingine ambayo mama ameikosa.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Looh mke wa mtu ht km huridhiki komaa tuu...HUDUMA za mume haziishii kutunza familia na kujaza full tank.....huyo kijana ndio anakamilisha hiyo HUDUMA nyingine ambayo mama ameikosa.......
Hahahaha!anakufinyia kwa ndaniPole sana.
Kuna kitu kinanipa was was lately maana najikuta siku hiz nampenda sana yf mpaka najisahAu kias kwamba na yeye kaanza kuona.Wakuu hii sio dalili ya umauti kweli unaninyemelea?Maana for 10 year tuko pamoja sijawah kuwa na moyo lege lege kias hiki!!.au kashAnitengeza?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mshikaji wangu sana dogo akiwa na shida namkopeshaga sana tuInakuaje anakuambia hivo? Mna uhusiano gani naye
Km movie vile daaah!pole broh!!Sina hakika sababu nilitrack mawasiliano ya manzi na chats na calls zao na jamaa alikuwa anaashiria kuwa ndio siku ya kwanza anataka kuja kumpiga pumzi ila akawa kama anamuulizia sana juu ya usalama wake kwamba ni freshi nikija hapo hapo geto! By that time nilikuwa nakaa self moja tu!
Demu akanipanga mimi toka jana yake kuwa dadaake kesho atakuja kwa ajili ya graduation ya mtoto wa kaka yao! So kaomba alale pale kwetu alale na ndugu yake kwa kuwa mie sikuwa na hiana nikasema acha tu nimpishe sababu kwao walikuwa hawajui kuwa anakaa kwangu walijua kapanga kivyake.
Basi mie kwa kuwa na maseke kile kitu sikukielewa nikaamua nifanye ujasusi kumbe kweli ilikuwa ule usiku napigwa tukio la hatari kama ningejiachia huko niliko!
Nilichofanya nikampigia simu jioni kwasababu picha linaanza hakunipa feedback juu ya huyo mtu kafika au la! Toka asubuhi mpaka Saa 3 usiku mtu atoke Dar hajafika tu na gari ya mwisho kabla ya 2 inakuwaga ishatia timu!
Nikaanza kuhisi usanii ule! Kufungua database yangu kweli nakuta ni mwamba wanapangana kuwa aje amkaze maana mie sipo na alimdanganya yupo single nadhani! Nilichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana mahali nikawa nashuhudia kila kitu kummmk. Baada ya kuingia ndani tu sikufanya ajizi nikajongea mlangoni na kugonga kibabe! Alipofungua mlango hakuamini anachokiona!
Chumba ilinunuliwa spray sikuhio chumba kinanukia balaa na maji jamaa anachemshiwa aoge huku kashaagiziwa chipsi kuku! Kummmy wanawake hawa waoneni tu..ni kama akili ilipiga short nilifukuza yule jamaa nikabana mlango. Ilikuwa nafanya umafia wa ajabu siku ile maana nilishavua mkanda! Muuza chips alipoleta chips ndio kutoka azipokee akapata na upenyo hapo hapo wa kutoroka kifo!
Yaaan wananichekeshaga sana wakicheat wao aaaaah sawa ila mwanamke akiteleza anakua hafai kbs !!!wako soooo selfish kwakwelWanaume bwana!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana nilishamtosa na sijui kama wapo pamoja au waliwahi kusex au laDuh Mkuu pole sana hasa kwa kumuwahi jamaa kabla hajala mzigo, nje ya Mada unaendelea naye kama wife?
je km uliwawahi ni kwamba hawaendelei au jamaa kabla hajawahi onja?
ni experience tu maana mm yamenikuta kwa mchepuko nilimpangia na kumtembelea asubuhi hakuwepo hadi saa sita mchana simu alizima siku 3 lkn siku hiyo saa 6 aliwasha
Hafai kabisa kwa kula au kulumangiaYaaan wananichekeshaga sana wakicheat wao aaaaah sawa ila mwanamke akiteleza anakua hafai kbs !!!wako soooo selfish kwakwel
ok majibu yako nimeyakuta post za nyuma, kuwa alitoroka baada ya muuza chips kugongaHapana nilishamtosa na sijui kama wapo pamoja au waliwahi kusex au la
Yani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.Yaaan wananichekeshaga sana wakicheat wao aaaaah sawa ila mwanamke akiteleza anakua hafai kbs !!!wako soooo selfish kwakwel
Yah huwa siwez deal na stressok majibu yako nimeyakuta post za nyuma, kuwa alitoroka baada ya muuza chips kugonga
hivi hawa wanawake ni kwamba hawaridhiki au alitaka kuonja taste nyingine akidhani ni match la kibabe?
kuna ka kitu kana wawasha siwalaumu hata sisi wanaume tupo hivyo lkn bora ulimuacha
Cha ajabu hawakuonei huruma kwa mtihani mzito ambao hujautarajia pole sana ndo mapito hayo.Nawaza sana ntawambia nini ndugu zangu,au ndugu zake kwa jinsi tulivyo pendana ni aibu kubwa sana kwangu kusema namwacha kwajili ya ametoka inje ya ndoa,lakin ntafanyaje?itabid iwe hivo nafsi yangu na moyo wangu unashindwa kuvumilia nikikumbuka msg zao nikiziweka hum mtashangaa kwann mpaka saiz yupo ndani kwangu
Hata mwanaume akifumwa hali ni hii hii tuna angalia nani aliekutwa na kidhibitiYani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.
Kama kwamba huyu mke kafanya jambo la ajabuuuuu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Laiti wangejua wao na huyu hawachekani!
🤣
Jipe mda kidogoNawaza sana ntawambia nini ndugu zangu,au ndugu zake kwa jinsi tulivyo pendana ni aibu kubwa sana kwangu kusema namwacha kwajili ya ametoka inje ya ndoa,lakin ntafanyaje?itabid iwe hivo nafsi yangu na moyo wangu unashindwa kuvumilia nikikumbuka msg zao nikiziweka hum mtashangaa kwann mpaka saiz yupo ndani kwangu
Ndiyo maana alikuacha si ndiyo?Tulikuwa tunaoana alishatoa mahari
[emoji23][emoji23][emoji23] hapa n haki sawa.Curiosity killed the [emoji250], we haya[emoji12]!
Hivi ikiwa kweli utamsamehe mtu wa kisasi na hajawahi kukuweka chini hata mara moja kakimbilia kulipiza tu.Tulia kijana wangu kaa nae chini muulize sababu ya yeye kudenemka ni nini hasa? Huenda akatoa sababu ambazo wewe ndio chanzo.
Yeye mwenyewe ana michepuko saangapi atakuwa makini na mkewe? Muda wakuwa na mke nyumbani lakini mtu anahangaika na vimada tuduh...kama kweli blaza pole.....ila hukupaswa kumpiga hata kidogo.....mkeo ni KAHABA, na analiwa sana.....ni wewe hukuwa makini na miendendo yake.....MWANAMKE YEYOTE AKICHEPUKA....ujue hakuhitaji ASILANI...sawa mna watoto......je ni wako?..sawa ni wako....uendelee kuishi nae huku anaendelea na chepuko lake.......sikushauri lolote......hakikisha WATOTO wako wapo salama daima.....zingatia UKIMWI UPO......na wanao wangali wanakuhitaji.......wewe ni mwanaume......fanya linalokupendeza........duh kuliwa mkeo inauma wandugu....KITOBO CHAO KIMECHOKOLEWA NA HUNIIIII 😎 😎 😎[emoji23]