Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Halafu acheni kuwashauri watu waishi kwa kuteseka kisa watoto,Mtu akizingua ondoka faster...angalia namna bora ya kuwalea watoto wako bila kuendelea kuishi na shetani..yaanj ulale na msaliti pembeni yako kila siku kisa eti watoto?
 
Na mwanaume

Yani hapa uzi umejaa comment za Auwawe auwaweee.

Kama kwamba huyu mke kafanya jambo la ajabuuuuu.

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Laiti wangejua wao na huyu hawachekani!
🀣
Tatizo ni moja mwanamke kuachana na mchepuko ni shughuli kidogo coz mwanamke mara nyingi tofauti na mwanaume hachepuki kwa tamaa za kimwili. Ila wanaume akiona tak tu au mitego mitego tayar anatongoza but ukimaliza huna muda tena unamkumbuka mke wako. Acha watu watoe nyongo
 
Ndiyo mkuu...
Unaweza kuoa mwanamke mpya ukapata stress zaidi kuliko yule wa zamani...
 
Reactions: Mbu
Unazidi kunifanya niwaze nje ya box..

mnapata dyudyu kinya kimya..??

Sent from my itel P51 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe na wewe unayo mchepuko??? Sasa si usamehe tu, sasa unahukumuje wakati wewe pia unachepukaga??
Kuchepuka ni kuchepuka tu regardless ni nani umechepuka naye
Ulimwengu umewapa heshma kubwa Mama zetu (including wadada wote)
Swala la kuchepuka kwakweli huwa haliko comfortable kijamii likifanywa na mke

KWA standards za kijamii baba akifumaniwa huwa sio habari kubwa ila mama akifumaniwa trauma yake KWA watoto wake haisimuliki

,KWA hiyo jamii imewapa heshma kubwa na ina matarajio makubwa juu ya mienendo yenu katika mahusiano,

Ukichepuka sababu mumeo anachepuka ,jamii inasimama na mumeo 100 percent hata utoe ushahidi kwamba hata naye anachepuka
 
I think kuna point
 
Acha kuhalalisha usaliti kwa wanaume wewe[emoji57][emoji57]

Sijui wakina mama blah blah, kwanini nyie mle nje? Sisi hatuna mioyo? Hatuumii?

Ukikamatwa ujue umehalalisha usaliti to both of you

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wako pamoja siku baada ya tukio mke alitaka kugegedwa mume akagoma hadi wapime HIV ili kujua yuko salama. Jamaa anateseka sana kwa yaliyojiri.

...bado tunarudi kulekule kwenye self incrimination.
Kwa mchepuko yeye anapigaje?

Mwenyezi Mungu akitaka kukuumbua, majibu ya mume yanaweza rudi +ve, ya mke yakarudi -ve.

Atumie kinga,
Asimnyime unyumba mkewe.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 


Zamani,
Hii jamii ya siku hizi mume utaonyeshwa sympathy ya kinafiki tu siku ya kikao, behind your back utasikia wanakung’ong’a β€œkama ana tatizo la nguvu ya kiume lazima asaidiwe!”
 
Utaomba msamaha mwenyewe
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu upo sahihi Mzee mmoja miaka ya 90 nikiwa mdogo aliwai niambia ktk maisha omba Mungu usifumaniwe na mke wa mtu wala usimfumanie mkeo.
 
....Na huko nje zaidi ni wanafuata mchezo wa 'Tundu Dogo' tu maana hawaupandu nyumbani kutokana na Waume zao kuwaendea kiheshima heshima tu na kutothubutu kuwaomba huko!! Kumbe huko nje Wanatifuliwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…