Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Sijaoa ila principles ni hizi.

Mke akikukosa risasi, ama akakupiga lakini isikuue ama akakupiga panga ya shingo lakini bahati nzuri ukapona, msamehe na ongeza upendo kua zaidi ya ule wa mwanzo.

Lakini mke akichepuka kwa sababu yoyote ile usimsamehe.

Madhara ya mwanamke kuamua kuchepuka ni makubwa hatari zaidi kwenye maisha ya mume kuliko hata angempiga risasi.

Take it or leave it.
Mmhhh!!!,km kuna ukweli hivi?!!
 
Aaah wapi wew wakati una mchepuko wa kudum umemkamata mpaka hataki kuoa weeee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 Hujui nini kilipelekea ikawa vile,ni long time ago aisee mimi sio sababu ya yeye kutokuoa.
Hlf mimi sifagilii mke kuchepuka ila mnakera mnapofumbia macho uchepukaji wa jamaa.
Kwa case hii mke anadeserve kuliwa...nampongeza. Dawa ya usaliti ni kisasi...inapunguza maumivu ya moyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hujui nini kilipelekea ikawa vile,ni long time ago aisee mimi sio sababu ya yeye kutokuoa.
Hlf mimi sifagilii mke kuchepuka ila mnakera mnapofumbia macho uchepukaji wa jamaa.
Kwa case hii mke anadeserve kuliwa...nampongeza. Dawa ya usaliti ni kisasi...inapunguza maumivu ya moyo.
Kwa hiyo unakomesha mdogoagu.
Hizi taarifa zitafika kwa usalama zaidi kulinda familia.
Yaani bila ya hivo ni kwamba utachepuka milele.
Kinywaji kinakuharibu.[emoji847][emoji847]
 
Kwa hiyo unakomesha mdogoagu.
Hizi taarifa zitafika kwa usalama zaidi kulinda familia.
Yaani bila ya hivo ni kwamba utachepuka milele.
Kinywaji kinakuharibu.[emoji847][emoji847]
Sina mzuka tena na mwanaume mwingine zaidi ya huyu wangu, siku nikimkosa najikojolesha mwenyewe maisha yanaenda.
 
Ndugu usitangaze mapungufu ya mkeo popote hasa kwA Ndugu au rafiki. Kisha songa mbele
 
Back
Top Bottom