Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Tulia tu mkuu msamehe tu hii changamoto hakuna sehem ambayo hakuna mzee utamaliza mbususu zotee na mambo ni Haya Haya tu
Kumsamehe kunaendana na kum quarantine! Akae na upumbavu wake huko aliyemwambia kuwa kuchepuka ndio solution ni nani? Yani avizie umesafiri achepuke mie huwa mazoea na watu wa ajabu huwa namwambia kabisa kama ni mke au mpenzi kuwa sihitaji hayo mazoea yaendelee! Style hio ya kuchepuka ni umalaya

Siku nikikufuma ujue tumemalizana mie na wewe wala hakutakuwa na mjadala!
 
Acha kumpotosha mwenzio. Eti asimwache. Huyo mke ni malaya kama mleta mada hakumwoa akiwa bikra. Halafu hana hofu ya mungu licha ya kufumaniwa bado hataki kukiri uzinzi wake. Kama mke angekuwa anathamini ndoa yake basi angetumia hekma kumrekebesha mumewe ila sio eti naye achepuke. Huyo mwanamke ni mpenda visasi na anayependa kishindana na mumewe. Kwa hivo si mshauri mleta mada aendelee naye. Mleta mada kuwa makini na huyu jamaa atakuingiza pabaya. Wanaopinga uamuzi wa mleta mada basi wanafaa kupimwa akili.
Asipoelewa hili mtoa mada basi hataelewa kingine! Hii ndio picha halisi ya mkewe
 
Mkuu kwanza pole. Kwa ufupi sana mkuu.
Kwanza kapime afya yako pili kama una pesa basi kapime na DNA na watoto wako, hii inaweza kukupa picha ya maisha yako baada ya tukio hili baya kbs ktk ndoa.
Kwa muda huu ambao upo dilemma focus ktk namna utawalea watoto wako bila mama yao hapo baadae, kumbuka huyu mwanamke ni wakumuepuka kbs ktk maisha yako.
Usithubutu kutumia vibaya busara yako na kumsamehe, huyu kakubuhu ndiomaana kaamka na kaenda kazini, hajali hajaumizwa wala hajahofia kwa ulichokigundua.
Wanaume wengi waoaji na wenye malengo makubwa kimaisha huwa tunavurugwa sana na wanawake ambao huwapatia bahati ya kuolewa.
Usimpige mkuu wala usimfanyie chochote kibaya, hili linatakiwa lipite likuache salama ili uweze kuanza upya maisha yako na kulea wanao kwa amani na upendo.
Kwa wanaume wengine wanaofanya kazi za safari safari mkiona mwanamke anakuuliza sana au anatumia watoto kukuuliza unarudi lini chukueni tahadhari.
Mwanamke anakuulizauliza hivyo ili ajue ratiba yako au wale wa kuuliza uliza uko wapi yani ghafla tu anakupigia simu anataka kujua uko wapi jua anafanya tukio la kigaidi huko alipo ila anahofu kama alipo utamuona!

Ni mbinu tu hizi tushakutana nazo! Na siku zote mlango wa uaminifu au uovu wa mwanamke wa kileo upo katika simu yake na watu anaowasiliana nao
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Unaposema aliboreka kukaa peke yake,wakati mna watoto wawili unamaanisha nini?
Bible inasema "mume atamuacha mke sababu ya uzinzi"
 
ila wanaume bana mkifanya nyinyi fresh sie muache😀😀😀, kweli mtenda akitendewa bana. We si ulikua unaenda kulala kabsa bora yeye amerud. wote badilikeni!
Mwanamke haibadilishi maana kuwa wewe unatakiwa uchepuke! Mwanaume kuwa na wanawake wengi ni swala la asili
 
Ni wale wanawake rejected wenye sura ngumu,unakuta hata kama kaolewa ameolewa na mtu ambaye hana uwezo kiuchumi hii ni kutokana na uzoefu wangu.
Mademu wazuri wengi tu wanaokaa uswahilini wanatiwa na ma boda boda hasa wale njaa njaa! Wanaokopa kopa usafiri
 
Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia.

Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea,
Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka chin na kuomba nimsamehe haja fanya chochote kibaya

Nilimsikiliza lakin hakuwa na hoja yeyote ambayo inarizisha ukamwelewa yeye alisimamia msimamo wake huo alikuwa kwa shoga yake walikuwa wanaangalia muvi ndio maana kachelewa.

Alivyofika tu chakwanza kawahi kuchukua ndoo aende bafun akaoge niliamin kweli tayar kashaliwa
Sikumkagua huko chin sikuona km kuna haja ya kufanya hivo maana ni km uzalilishaji jibu linaonyesha tu ametoka kuliwa,alivyo maliza kuoga ,

Nikachukua simu yake na kumwambia toa password akawa hataki nikapiga ngumi ya uso akatoa password niliyo yakuta humo unaeza kuzimia,

Moja nikaenda kwny calls nikakutana na calls za jamaa za saa kumi na mbili kamili jion

Pili hamna calls hata moja inayo husisha rafiki yake inayo onyesha jana waliwasiliana kukutana

Tatu kwny whasp msg nikakutana na zajamaa pia na waliplan toka saa tano asubuh nilitaka niziweke humu but nimeshindwa kuweka ila ilikuwa km hivi

Jamaa:hey beautiful missed you

Mke: hey baby missing you more

Jamaa: missed your voice sana

Mke : thanks uko free leo?
Jamaa: yes tuonane bas please
Mke😱k ntakwambia.

Hiyo ilikuwa mida ya saa tano hivi asubuh hapa nakumbuka wife alipiga simu km mara 3 nikawa sikupokea nilikuwa kwny bus narud Dar na nililala nikakuta tu msg anasema
Hey baby nataka kujua unaendeleaje na unarudi lin? hapo nilimjibu Jmos usiku hiv akasema poa

Kwny saa kumi na mbili alimtafuta jamaa tena

Mke : hey uko wap tunakutana wap?
Jamaa:maaeneo ya studio kuna sehem inaitwa garden nini sijui..
Mke😛oa

Mke mida hiyo ndio kaenda na calls za jamaa ni kama saa 1830hrs nafikir alikuwa akimwelekeza

Yote hayo na msg zote hizo bado wife hajakubali km alikuwa kwa jamaa amekataa katakata

Msela aliye kutana nae kamsave LivingStone nakumbuka wakati tunakaa kijitonyama tulipanga nyumba moja na rafiki zake Mallow walikuwa wakiimba hapo na kuvuta bangi tu ile nyumba tulikuja kuhama hata kodi haijaisha na sikujua haswa tatizo nini pale ila alisistiza tu tuhame maji ni shida , nikasema poa nilitafta sehem nyingine nikalipa

Pale tukapangisha mwingine, mke alikuwa akiwasifia sifia anasema wajua kuimba ila bado hawajatoka kimziki but sikumzingatia ila namba
Wamepeana huko na ukichek jamaa ni yupo yupo anahaso na mziki mambo ya gym Bangibangi tu

Ila ndio hivo kila kitu kinamwisho wakuu akili kwangu kichwani wife kaliwa na and aground wa mziki sijui kwann wanawake wanapenda masela tu mambo ya gym nashangaa sana mtu kama huyo kuvunja ndoa yangu nipo nae toka 2016,

Wakuu ambo mko kwny ndoa mnanishaur nini?
hapa itabidi kutumia busara sana nmefanya nae vitu vingi na huyu manzi leo huu analiwa kimasihara tu inauma sana,

Cha kushangaza alimpigia simu jamaa ,alivyopokea tu jamaa inaonyesha ni wapenz na jamaa alikana ndio ww sio mpenz wangu but sio lazima niwe mpenz wako ndio ufanye .

Watoto wangu wawili mdogo ana 2years na mkubwa 4years wataishi bila Baba na mama pamoja inauma ila ndio itabid iwe hivo

Sintafanya haraka ntamwacha hapa kwny hii nyumba mimi ntaenda kupanga kwingine but watoto wangu atabaki nao yeye bado ni wadogo na ntafocus kuwahudumia na kuwasomeshe but
Itakuwa ngum sana kuwa nae tena wife haswa unapojua ameliwa na mtu wa dizan gan

Usaliti ni kitu kibaya sana wakuu leo hii Livingstone anavunja ndoa yangu hivhiv naona na katika kuchepuka kote sijawahi toka na mke wa mtu Kwann lkn imetokea kwangu?

Story hii ni ya kweli Mungu shahid hakuna nilipo ongeza japo sijaweza kuongea yote yalio tokea sintomaliza,

Hoja zake kubwa
1/ alifanya hivo kujifrahisha nafsi na haimaanishi alienda kwa jamaa
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
3/ jana alitoka kwenda kwarafiki yake kwa kuwa aliboreka home alikuwa alone

Hapaameamka na kwenda zake kazin na ubaya tunafanya sehem mmoja kaz,

Imeniuma sana wakuu sijalala kabisa leo hii iskie tu kwa mtu

Nawasilisha mtanisamehe kwa uandish nimevurugwa sana.

Unashauriwa kusoma kisa kilichotangulia: Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda
Hao watoto sio wako
 
cocastic

Jitahidi kupunguza hasira pindi unapoelezea hisia zako. Upo huru kunipinga ninachosema, ila unaponiattack kwa kuniita mm ni mnafiki kwa kuelezea mtazamo wangu, nahisi unanikosea.

Turudi kwenye mada. Siwezi kumshauri mwanamke, wakati aliyekuja kuomba ushauri ni mwanaume. Binafsi sipendelei mahusiano yenye watu zaidi ya wawili, ndio maana jamaa nimempa ushauri huo. Hata ingekuwa ni bi dada ndio amekuja kuomba ushauri, still ningemshauri the same. Kama upo na mtu ambae ameanza kutoka na mtu mwingine tofauti na wewe, jitoe kwenye mahusiano, thats Me.
Sasa utajitoa kwa wangapi. Hakuna malaika duniani kumbuka dada.
Ni Bora tu uwe singo siku ukijisikia unatafuta kijana mdogo mdogo unampa hela anakumaliza.
Ama unatafuta sex toys zile za kichina kabisa na zinatumia umeme.
Mie nachojua nilipooa nilishsweka na risk ya ndoa naijua kuwa naweza kumkuta ndani na lijamaa linakula
 
Mkuu keisangora

Hebu rudia tena kusoma ulichoandika, alafu niambie kama ni kweli umedharia kuniandikia mimi.
 
Back
Top Bottom